Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
!!!hiruma ndio nn tena
Relax mama yangu
...Mkuu mwakaila waheshimu wajane msamehe !!!
!!!hiruma ndio nn tena
Relax mama yangu
Ha ha ha
Halafu wa ngarenaro huyo
sijawahi kuona mnyama mlalamishi kama wewe... hahaha, eti wanyama kama sisi lol.
Kumbe ni mtoto wa hapa hapa NGALELO tunaongea lugha moja kabisa, ngoja niendelee kumchombeza, siasa sio uadui lusungo naweza nikarudisha kundini!
Jamani video mpya iliyoongozwa na Nisher imetoka
Ha ha ha
Halafu wa ngarenaro huyo
wacha we! Naona English is reachable here!
nadhani ni sombetini mitaa ya kina jumanne mjusi mbwia sembe
Ha ha ha
Kabisa mkuu siasa si uadui chombeza mkuu umtoe katika ulimwengu wa Giza
Atakuelewa tu mkuu si unajua ukubwa dawa?
Naona pamewaka moto wakati unalitaja jina la huyo mlume... abakorakamo njoo umchukue mgeni wa mjusi huku
Kweli kabisa kaka, ngoja nipambane! kabla BABU hajashtukia GAME!