CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

We Jinyonge tu, CCM ndio chama cha wa watanzania. Watanzania wengi wanaisapoti CCM kutokana na sera zake ambazo zinatekelezeka.
 
Aisee comment ya mtoto inamgusa adi mama mtu mzima kama wewe
Much appreciation to me

Unafikiri inanigusa?
Nimeandika kukuonea hiruma ukapumzike maana hata wanachoandika magaidi wenzio hukielewi unaguna hovyo hovyo tuu..

Hapa sio size yako
 
We Jinyonge tu, CCM ndio chama cha wa watanzania. Watanzania wengi wanaisapoti CCM kutokana na sera zake ambazo zinatekelezeka.

Zinatekelezeka ila zinatelekezwa as soon as possible
 
Unafikiri inanigusa?
Nimeandika kukuonea hiruma ukapumzike maana hata wanachoandika magaidi wenzio hukielewi unaguna hovyo hovyo tuu..

Hapa sio size yako

!!!hiruma ndio nn tena
Relax mama yangu
 
Ukanisalimie Chacha wangwe. Mwambie ule wembe uliommaliza nusura umpatilize Dr Kitila Mkubo,ZZK,na Mwigamba.
 
Nashukuru kwa kuwa nimekuwa kenge mwenye kustahili kujibiwa na wewe. Kumbe wewe unao uwezo hata wa kujibizana na kenge? hongera sana. Naona wewe siyo mwanadamu wa kawaida kwani unaweza hata kuwasiliana na wanyama kama kina sisi huku.

sijawahi kuona mnyama mlalamishi kama wewe... hahaha, eti wanyama kama sisi lol.
 
We Jinyonge tu, CCM ndio chama cha wa watanzania. Watanzania wengi wanaisapoti CCM kutokana na sera zake ambazo zinatekelezeka.

Kutelezeka is one thing, kutekelezwa is the other.

yani ni vitu viwili toooofaut...
 
Back
Top Bottom