Watu wanawasanifu tu, ile idadi ndogo ilikuwa inaonekana hata kwa macho. Niliwahi kukuambia mwanamke akizeeka anapoteza mvuto, na ukimuona na vijana ujue wanamlia hela.
Ccm imeshazeeka mvuto haina tena, na hakuna uwezo wa kumuhujumu anayependwa ili ww upendwe. Mnaweza kupika sana idadi ya wapiga kura, lakini ukweli uko wazi. Watu wameshaamka mtawapata mafala. Huyu Magu alipaswa kuongoza baada ya Nyerere maana watu bado walikuwa wamelala. Sio sasa mpaka mtoto mdogo anajua kutumia internet na kujua mambo kibao. Kama hupendwi, basi hupendwi tu hata ukileta maendeleo kwa pesa za mkopo mvuto hupati.