Haaha eti kupambana daah aisee mnajua kujitoa akili.Huko nyuma mlishazira marangapi, Je ilisaidia kuleta mabadiliko mliyoyataka?. Kukimbia kwenye ring ni ishara tosha kabisa umempa ushindi wa chee adui yako. Huu ni uwanja wa mapambano hivyo mlitakiwa kupambana hadi mwisho na ssm. Mmeamua kukimbia kama jogoo anavyokimbia akishindwa, na sisi tutawafukuza mtokomee kabisa msionekane tena. Na tukirudhi 2021 tunasherehekea kifo chenu. Which is called natural death.
Bado tupo katika siku nne za maombolezo.Epuka matusiNa ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
Wewe ndiye hujitambui kwa kushobokea na ma PhD,huyo huyo DJ anawalaza bila viatu hadi mnamkataza kufanya shughuli za kisiasa,mnamdhibiti asikutane na wanachama wake,mnazima tv ili wananchi wasimuone anavyo ongea kuchangia bajeti bungeni,mnamfanyia hila kila namna huyo DJ[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawa cdm wajinga sana, yaan wanafikiri wanacheza na mtu mjingamjinga, let me tell you my friend, mnayehangaika naye ni mwana sayansi mwenye PHD ya sayansi hivyo mjiangalie sana. Maana wengine hata shule hawakwenda wanajua kazi za u DJ tu halafu anataka kufananisha akili na mwanasayansi. Nawambia anawamaliza kisayansi and mtakufa mkiwa mnajiona
Una lugha ya kuudhiNa ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
Wewe mwenyewe ushakufa bado kivuli tuHawa cdm wajinga sana, yaan wanafikiri wanacheza na mtu mjingamjinga, let me tell you my friend, mnayehangaika naye ni mwana sayansi mwenye PHD ya sayansi hivyo mjiangalie sana. Maana wengine hata shule hawakwenda wanajua kazi za u DJ tu halafu anataka kufananisha akili na mwanasayansi. Nawambia anawamaliza kisayansi and mtakufa mkiwa mnajiona
PumbafffHawa cdm wajinga sana, yaan wanafikiri wanacheza na mtu mjingamjinga, let me tell you my friend, mnayehangaika naye ni mwana sayansi mwenye PHD ya sayansi hivyo mjiangalie sana. Maana wengine hata shule hawakwenda wanajua kazi za u DJ tu halafu anataka kufananisha akili na mwanasayansi. Nawambia anawamaliza kisayansi and mtakufa mkiwa mnajiona
Wanawazia pesa za kampeini hawakupataHuko nyuma mlishazira marangapi, Je ilisaidia kuleta mabadiliko mliyoyataka?. Kukimbia kwenye ring ni ishara tosha kabisa umempa ushindi wa chee adui yako. Huu ni uwanja wa mapambano hivyo mlitakiwa kupambana hadi mwisho na ssm. Mmeamua kukimbia kama jogoo anavyokimbia akishindwa, na sisi tutawafukuza mtokomee kabisa msionekane tena. Na tukirudhi 2021 tunasherehekea kifo chenu. Which is called natural death.
Bwana mdogo tindo ccm si chama ahadi tena ni chama cha utekelezaji ndio maana 75 asilimia yaliyoahidiwa kwenye ilani yameanza kufanywa!Mkuu narudia tena, ccm sio chama tena cha siasa bali kikundi cha tiss, jeshi na watu wasiojulikana. Watu kama nyie ni robot zilizobaki kuhubiri propaganda zilizotengenezwa na tiss. Kweli kutakosekana cha kuahidi kwenye nchi masikini kama yetu? Nchi tajiri kama US watu wanavya kuahidi itakuwa hii nchi yetu inayoendesha miradi kwa pesa za mikopo huku deni la taifa likikua kwa kasi?
Kweli ccm ni chama kubwa lakini sio chama kubwa cha kisiasa bali kijeshi. Na kudhibitisha wananchi hawavutiwi na ccm ndio umeona hiyo idadi ndogo ya wapiga kura. Na kwa mwenendo huu wa uporaji wa kura na kutangaza wasiokubalika utaona tutakavyoishusha idadi ya wapiga kura.
Chombo kilikuwa kimebeba watu 400 wakati kina uwezo wa kubeba watu 100.Inaonejana idadi ya watu ni kubwa sana kuliko namba ya vyombo vilivyopo.Bwana mdogo tindo ccm si chama ahadi tena ni chama cha utekelezaji ndio maana 75 asilimia yaliyoahidiwa kwenye ilani yameanza kufanywa!
Hata wewe muda mwingine unaona daladala imejaa lakini upo tayari kichwa chako kiwe ndani kiuno kiwe nje hata ukiambiwa gari imejaa bado unang'ng'ania tu pesa za uchaguzi nazo zingenunua daladala ngapi,tahadhari ya maisha yako muda mwingine unatakiwa kuwa nayo mwenyewe!Chombo kilikuwa kimebeba watu 400 wakati kina uwezo wa kubeba watu 100.Inaonejana idadi ya watu ni kubwa sana kuliko namba ya vyombo vilivyopo.
Gharama ya chaguzi za marudio ni takribani bilioni 10.Tungeweza kununua ferry ngapi?
Akili za ujima kama hizi ni shida.Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.