Ruzuku tutasusiaje ??? Uchaguzi fanyeni wenyewe vichaa ninyiNa ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!

Hahahaaaa utadhani wako msibaniUamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtuView attachment 874692View attachment 874693
Hayo ni mawazo ya walio changanyikiwa na wanao jidanganya kuwa wanapendwa na kwa taarifa yako cdm inapendwa na mamilioni ya watanzania na huo uamuzi ni wa wananchiKususia uchaguzi hakujawahi hata siku moja kuwa na faida kwa chama kinachosusa, vyama vyote vinavyosusia chaguzi huwa vinaishia kusambaratika. Lengo la chama chochote kile cha siasa ni kushika madaraka, sasa chama kikianza kususia uchaguzi hakiwezi kuyapata hayo madaraka.
Kwa staili hii CHADEMA mnajichimbia "kaburi" lenu wenyewe, na ikifika 2020 Watanzania watakuwa wamewasahau kabisa. Mbowe na chama chako mnapaswa kufahamu msemo huu; "quitters don't win and winners never quit"
Unamtawala asiekutaka huu ni ujinga wa viwango vya ahera....Taabu ipi sasa hapo wakati wanatawala? Acha kujifariji mkuu!
Nanyie mtakoma kwa kufanya harusi bila send off


halijaribiwi
Kwa kuchangia huu uzi kwa nidhamu namna hiyo unaonyesha umeuelewaHuku kususa kwenu ni mara ya 99 sasa bado msuso mmoja mfikishe mara 100
Mlianza kususa bungeni!!!mkatikisa kweli kiberiti,mkajiliza kila upande,lkn msimamo wa JPM upo palee paale,!!!
Safari hii kufa hafi mtu hapa ila chamoto tutakiona
Mlizoea kuwanyanyasa na kuwakejeli viongozi waliopita eenhh!!!
Hili ni JIWEhalijaribiwi
![]()
Huku kususa kwenu ni mara ya 99 sasa bado msuso mmoja mfikishe mara 100
Mlianza kususa bungeni!!!mkatikisa kweli kiberiti,mkajiliza kila upande,lkn msimamo wa JPM upo palee paale,!!!
Safari hii kufa hafi mtu hapa ila chamoto tutakiona
Mlizoea kuwanyanyasa na kuwakejeli viongozi waliopita eenhh!!!
Hili ni JIWEhalijaribiwi
![]()