CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Hata wewe muda mwingine unaona daladala imejaa lakini upo tayari kichwa chako kiwe ndani kiuno kiwe nje hata ukiambiwa gari imejaa bado unang'ng'ania tu pesa za uchaguzi nazo zingenunua daladala ngapi,tahadhari ya maisha yako muda mwingine unatakiwa kuwa nayo mwenyewe!
Naunga mkono hoja.Hili la mv nyerere nalo litapita.Tutarudi kueñdelea na chaguzi zetu za marudio.
 
Uchaguzi wa marudio utaendelea kufanyika mpaka katiba yetu itakavyo elekeza vinginevyo!
 
Wewe nafikiri ni mwana freemason maana hata huna ubinadamu kabisa
Hata wewe muda mwingine unaona daladala imejaa lakini upo tayari kichwa chako kiwe ndani kiuno kiwe nje hata ukiambiwa gari imejaa bado unang'ng'ania tu pesa za uchaguzi nazo zingenunua daladala ngapi,tahadhari ya maisha yako muda mwingine unatakiwa kuwa nayo mwenyewe!
 
Kama hawashiriki uchaguzi, hawatakuwa na uwakilishi wowote wa wananchi kwenye vyombo vy a maamuzi kama Binge na baraza LA madiwani, hivyo ruzuku automatic ally itakuwa Zero.
Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
 
Ndiyo wameanza sasa kuongelea katiba mpyaaa[emoji16][emoji16][emoji16] watanyooka wanadhani cdm ni sawa na tlp?
Hatutaki katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.Chaguzi za marudio ziendelee mpaka kieleweke.
 
Kama hawashiriki uchaguzi, hawatakuwa na uwakilishi wowote wa wananchi kwenye vyombo vy a maamuzi kama Binge na baraza LA madiwani, hivyo ruzuku automatic ally itakuwa Zero.
Cdm haipo kwa ruzuku bali ipo kwa kuwatetea wananchi wanaoteseka kwa utawala wenu wa kiimla
 
Na sasa mtegemee mafuriko ya watu kurudi ccm wengi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Maana chama ndo kinakufa hjvo
 
Haikuanza leo hiyo mbona mlishaviua vyama vingi kabla ya cdm?lkn cdm ilipoanzishwa tu tukaisambaratisha vibaya ccm yenu

Back
Top Bottom