Sanduku LA kura haliamui mshindi,haki ya mpiga kura ni kutumbukiza kura jukumu LA kumtangaza mshindi ni LA ccm.Huo tunaitaga ukoloni mamboleo
Sanduku LA kura haliamui mshindi,haki ya mpiga kura ni kutumbukiza kura jukumu LA kumtangaza mshindi ni LA ccm.Huo tunaitaga ukoloni mamboleo
Sheikh sasa kama kitu umesusiwa unafanyaje yakhee. Si unakula tuuUsipende sana vya bure utajikuta unarudi kwenye enzi hiziView attachment 874806
Hakuna haja kushiriki uchaguzi ambao unaacha baadhi ya familia na vilio. Misiba watu kufa kutekwa, bora uchaguzi usiwepo watu wakae kwa amani. Tambua pia chama no falsafa. Na falsafa haipotei. Mnaweza kuifuta chadema Leo kwenye makaratasi yenu yote mkachoma na Moto mataili lakini falsafa itabakia mioyoni mwa watu. Huwa haibadiliki.Kususia uchaguzi hakujawahi hata siku moja kuwa na faida kwa chama kinachosusa, vyama vyote vinavyosusia chaguzi huwa vinaishia kusambaratika. Lengo la chama chochote kile cha siasa ni kushika madaraka, sasa chama kikianza kususia uchaguzi hakiwezi kuyapata hayo madaraka.
Kwa staili hii CHADEMA mnajichimbia "kaburi" lenu wenyewe, na ikifika 2020 Watanzania watakuwa wamewasahau kabisa. Mbowe na chama chako mnapaswa kufahamu msemo huu; "quitters don't win and winners never quit"
Soon vitajitoa,hapo awali Cuf pia iliwahi kupitia tabu kama hizi innazopata chadema,hivyo hapa wanaweza kuongea lugha moja,Act hawana athari kubwa kwa ccm kwa sasa,na kina cheyo hawawezi kuonyesha upinzani wowote wakati nao ni ccmtumbo,kwa vyovyote ccm itabaki peke yake kwenye chaguzi ila nje ya chaguzi imezungukwa na maadui kila kona,na mbaya zaidi wengi wa maadui wapo ndani ya chama period.Kwani cuf na vyama vingine navyo vimejitoa?
Mbumbumbu tu ndio wanawaza hivyoUkizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
Haswaa na hapo ndipo watajua kuwa uamuzi wa cdm una maana kubwa kwaoSoon vitajitoa,hapo awali Cuf pia iliwahi kupitia tabu kama hizi innazopata chadema,hivyo hapa wanaweza kuongea lugha moja,Act hawana athari kubwa kwa ccm kwa sasa,na kina cheyo hawawezi kuonyesha upinzani wowote wakati nao ni ccmtumbo,kwa vyovyote ccm itabaki peke yake kwenye chaguzi ila nje ya chaguzi imezungukwa na maadui kila kona,na mbaya zaidi wengi wa maadui wapo ndani ya chama period.
Huo ndiyo ukweli wasijidanganye kuwa kuifuta cdm ndiyo watakuwa wamemaliza upinzaniHakuna haja kushiriki uchaguzi ambao unaacha baadhi ya familia na vilio. Misiba watu kufa kutekwa, bora uchaguzi usiwepo watu wakae kwa amani. Tambua pia chama no falsafa. Na falsafa haipotei. Mnaweza kuifuta chadema Leo kwenye makaratasi yenu yote mkachoma na Moto mataili lakini falsafa itabakia mioyoni mwa watu. Huwa haibadiliki.
Ukisikia kupata tabu sana ndo huku sasaHiyo unaijua wewe ukitaka anzisha uzi wa hizo chaguzi ulizo zitaja
Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
Unajua hili litavunja nguvu chama tawala kwa kiasi kikubwa kupiga ngoma na kucheza kwa pamojaa dahhhh...
Ipo haja ya cdm kukaa kimyaa tuuone mwishooo utakuaje naanza kuona strategy ikipoteza mvuto kwa kasi
Vizuri ila mpaka leo toka aondoke Slaa cjadema haijawahi kufanya maamuzi sahihi. Kila walichofanya kime backfire.Mbumbumbu tu ndio wanawaza hivyo