Yaani wangegundua mapema pesa zetu zinazo tumika vibaya zingefanya kazi nyingineKwani cuf na vyama vingine navyo vimejitoa?
Aibu ya nini wakati mtu kapita bila ya kupingwa?Sasa hivi watapata sana taaabu kwa aibu
hakuna tabu kamanda,naona unapaparika tu kama bata anataka kutagaKumbe kuwaletea habari wana jf ni kosa?MMEANZA KUPATA TAABU SANA
hakuna tabu kamanda,naona unapaparika tu kama bata anataka kutaga
Chadema haijawahi kufaidika na kususa
Wanapima upepo tu na chama hakina pesa,tutasikia tumetafakari kwa kina tumeona hakuna mantiki ya kuwanyima fursa watanzania.Hata mwaka jana mlisusa mkarudi tena
Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
kweli mnaakili,kuongozwa div 0 anawapindua pindua kama chapati za ParathaCdm ni chama chenye watu wenye akili siyo kama nyinyi mbumbu fc hivyo kila jambo linalo amliwa linakuwa na msingi wake
Sasa wamewapuuza chadema au ccm maana kura zilizowapa ushindi ndio zilizopigwa na wana ccm chadema waliopuuza zao zimekuwa chache poleni tafakarini mliokota mizoga 2015 sasa inawanukia!Mmhhhh, sio kwa povu hili. Acha hasira kaka sio hela za magu. Watu wamewapuuza na kuwadharau ndio maana idadi ya wapiga kura imepungua mpaka aibu.
Tumewaambia pia wafute vyama vingi ibaki yenyewe wafurahi.
Watu walilia Kwa furaha Mugabe alipoondolewa.TAFAKARINI CCM
Sasa wamewapuuza chadema au ccm maana kura zilizowapa ushindi ndio zilizopigwa na wana ccm chadema waliopuuza zao zimekuwa chache poleni tafakarini mliokota mizoga 2015 sasa inawanukia!
Albadir umekunywa maji ya chooni!Akili ya kichaa utaijua tu
Wana mwisho, wamebaki kutishia watanzania tu Kwa ss.Hakuna anayewatakaWanajifanya wao ndiyo miungu