CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

Sasa mtaungana vipi maana Kuna waliopata mgawo kuanzia epa mpaka escrow na ambao wanapiga domo hapa jf kwa ujira WA elfu Saba kwa simu naona kutakuwa na mgongano WA kimaslahi anyway jaribuni Kama mtaukamata Moto WA ukawa. Ccm Ni marehemu kwa sawa tunasubiri kuzika Tu.
 
Sasa mwenye nyumba kushindana sauti na mpangaji utakuwa udhaifu mkubwa sana huu!!!!
U
Mwenye nyumba ni kuboresha mazingira tu ili wapangaji wakose la kusema!!!

Hii nukuu imeenea a.k.a kisu kimeingia kwenye mfupa.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

wewe utakuwa punguani huna jipya
 
Ni upuuzi kuendelea kujadili hii kitu, kama ni pesa za umma zinatofauti gani na zinazolipwa Aggreco na Songas? Au IPTL ilikuwa inatoa umeme bure? Kama hawajalipwa umesikia wanaidai Tanesco au serikali? Hao wanasiasa uchwala watawapelekesha sana.

tumekupuza wewe na wezi wenzio nyauuu
 
Kwenye uovu hakuna umoja mkuu! Unataka Anna Tibaijuka aungane na wew wakati mkulu kamtoa kafara huku familia ya mkulu ikila kuku kwa mrija?
Unataka Maswi aungane na wewe huku yeye kasimamishwa kazi huku akibeba lawama kwa kutekeleza maagizo ya mkulu?
Unataka Muhongo aungane na wewe huku anatwishwa aibu ya ufisadi ili hali ametekeleza maagizo na makubaliano ya baraza la mawaziri halafu Pinda anaachwa?
Kwenye uovu hakuna umoja!
 
Ni upuuzi kuendelea kujadili hii kitu, kama ni pesa za umma zinatofauti gani na zinazolipwa Aggreco na Songas? Au IPTL ilikuwa inatoa umeme bure? Kama hawajalipwa umesikia wanaidai Tanesco au serikali? Hao wanasiasa uchwala watawapelekesha sana.
Mkuu sasa kama hazikuwa za umma,povu lote hili linalokutoka nila nini?si ungepita kimya kimya hapa
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Waungane kutetea wezi? Hilo sahau, si umeona salamu za awali kwenye uchaguzi wa majuzi, subiri kimbunga mwakani!!
 
Acheni kelele tumechoka na tufanye mambo mengine sasa.
hata tukiacha na kuendelea na mambo mengine while mchwa ukiendelea kutafuna kile tulichokipata si tutakuwa tunapoteza muda na nguvu zetu bure?Kama sitaki kuamini kama mmekuwa wanyama kwa kiwango hicho?
 
Kwahiyo wewe unaamini hizo pesa hazikuwa za kuilipa IPTL?
 
Yan mie mwana CCM, mgao sijapata haya sh mia afu unishawishi eti nipinge hoja za ukawa!! Ntakuwa nimepotoka kisaikolojia na kujiondoa ufahamu. Siungi mkono ujinga wako
 
Mtoa mada ana matege ya akili,Watanzania wa leo wameacha kutetea vyama wanatetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi za kisiasa.Wewe ungana na MUHONGO,TIBAIJUKA,WEREMA,MASWI na baba yenu JK
 
Back
Top Bottom