Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?
My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.
kama hujasoma na hauna elimu ya kutosha au upombali na serikali ndio utaandika huu uharo wako lakini kwa wanaoelewa tunajua