CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.
Mfisadi nchi nyie alafu useme ni utoto ndio unazidisha hasira wewe
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Hakuna mtu anayelazimishwa na UKAWA kuelewa namna anavyoelewa,ila wewe ndiyo unatulazimisha tuelewe kama ulivyoelewa wewe na Prof wa Kichina.Kumbuka tupo WAHASIBU na AUDITORS tunaoelewa vyema sana ni kilichopo kwenye ripoti ya CAG.Ningekuwa mimi JK nisingedhubutu kuipaka taasisi ya CAG kama alivyofanya.Duniani kote CAG ni ofisi inayoheshimika sana.

Pole na sisi tunaungana kuiponda hiyo hotuba ya huyo Prof wa Kichina.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

endelee kutetea wafu wenzako sisi tunataka wahusika pesa akina Muhongo wafukuzwe na pesa zetu zirudi
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.
we bado unanuka maziwa ya mama, lazima utakuwa chekechekea
 
Jamaa anaandika vitu ambavyo havijui. Ajiulize kwa nini prof wao wa kichina anasema ameweka wachunguzi ambavyo alisema pesa ni za iptl na zililipwa kihalali.
 
Maccm ni sikio la kufa. Maji yameyafikia shingoni. Mengine yanashangilia hotuba ya Prof. Tezi dume kumbe hayajui yanajimaliza. Yasubiri 2015 yaone.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Kuna watu humu mnatetea maslahi binafsi. Unfortunately, you can't hide it!!!
 
muwe ni watu wakufikiri.ivi pesa kama haikuwa ya uma .nini maana ya kuwatuma cag na takukuru .nyumba ya jirani unaweza kuipekuwa bila idhini yake
 
Kwa hiyo iwapo rais anakosea UKAWA wanyamaze tu? you cant be serious for once?
 
Back
Top Bottom