CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

Kwani chama kingine kuongoza hii nchi ni mwiko au? Chama tawala tumewaona uwezo na kiwango chenu chajuu kabisa na chamwisho kwa miaka 53. Hamna jipia na ndiomaana mumeanza kuharibu kila kona ya nchi kwasababu mumefikia kiwango chamwisho na mumekwama kuipereka nchi mahara inapostahili. Kapumzikeni!
 
Huyu ndugu apelekwe MILEMBE Hospital maana hali yake inazidi kuwa mbaya. Kama hawezi jitambua hadi sasa basi huyu ni mwehu kamili.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Kama fedha si za umma, iweje awawajibishe akina Tibaijuka na Maswi apishe uchunguzi? Hapa raisi wako kachemsaha kaka.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.
Ungana na Chenge na Tibaijuka, halafu upuuzi huu umeuanza lini!
 
Utakuwa ulipata mgao wewe,vinginevyo utakuwa umeathiriwa na CCM masilahi mzazi wa EPA,Richimond na ESCROW.
 
UKAWA lazima ife kifo cha mende kabla ya june 2015

mnatapatapa na mshachelewa, lazima moto ukuwakieni, pesa si za umma cag wa kwenu wala sio wa ukawa, ndio maana tunasema nchi ishawashinda hii mnachokifanya hamkijui.
 
Nilimwandikia Mh. Rais waraka wa kuleta maadili mema nchini ambapo ingekuwa mwanzo mpya kama utasoma kwa ukamili attachment katika habari zangu ndani ya JF yenye kichwa MH. KIKWETE MTIKISIKO WA 4 KULIKUMBA TAIFA.

Ndani ya waraka huo wa tarehe 27/10/2012 ushauri nilioshauri utangazwe na rais ni: (Nanukuu hapa chini)

1. NJIA YA KULETA AMANI NA UTENGAMANO WA TAIFA

Mungu wa Kweli Yehova anaagiza kuwa: "Ukiwa Rais na kabineti yako ya utawala na ushauri; kwa pamoja mpitishe azimio la kusamehe na kufuta kesi zote ambazo zinahusikana na migogoro ya kidini, kisiasa, uhujumu uchumi, ufisadi, migomo ya wafanyakazi, wanafunzi na hata kesi ambazo zinakabili watu ambao wamehusika katika migogoro ya kikabila na ardhi." Mungu akimaanisha watu watakao husika katika zoezi hili la kusamehewa ni katika kesi ambazo zinasimamiwa na Jamhuri siyo katika kesi zinazohusisha mtu na mtu. Pia, msamaha utahusika kwa wale wote ambao tayari wanatumikia vifungo kwa sababu ya matatizo yaliyoelezwa hapo juu, wanapaswa kufunguliwa na kuwekwa huru. Kisha, utoe tamko kwamba serikali itapitisha sheria kali hivi karibuni kwa wote watakaotenda au kusababisha matatizo mapya yaliyotajwa hapo juu.

MWAROBAINI WA KUKOMESHA MATATIZO HAYO HAPO JUU UNATOLEWA NA MIFANO MIWILI INAYOPATIKANA KATIKA BIBLIA:

i). Andiko la Luka 19:2-10 linalosema: "Sasa kulikuwa na mwanaume anayeitwa Zakayo; naye alikuwa mkuu wa wakusanya kodi, na alikuwa tajiri. Basi, alikuwa akitafuta kuona Yesu huyu ni nani, lakini hangeweza kwa sababu ya umati, kwa sababu alikuwa mfupi. Kwa hiyo akakimbia mbele na kupanda mforsadi-tini kusudi amwone, kwa sababu alikuwa karibu kupitia njia hiyo. Sasa Yesu alipofika hapo, akatizama juu na kumwambia: "Zakayo, shuka haraka, kwa maana leo lazima nikae katika nyumba yako." Ndipo akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa shangwe. Lakini walipoona hilo, wote wakaanza kunung'unika, wakisema: "Ameingia apate kukaa pamoja na mwanamume mtenda-dhambi." Lakini Zakayo akasimama na kumwambia Bwana: "Tazama! Nusu ya mali zangu, Bwana mimi nitawapa masikini, na chochote nilichomnyang'anya mtu yeyote kwa shitaka la uwongo nitarudisha mara nne." Ndipo Yesu akamwambia: "Leo wokovu umekuja kwenye nyumba hii, kwa sababu yeye pia ni mwana wa Abrahamu. Kwa maana Mwana wa Binadamu alikuja kutafuta na kuokoa kilichopotea."

ii). Pia, andiko la 2Wafalme 6:15-23 linasema: "Wakati mhudumu wa yule mtu wa Mungu wa kweli (Elisha) alipoamka asubuhi na mapema, akaenda nje, na, tazama, hapo jeshi lilikuwa limelizunguka jiji kwa majeshi na magari ya vita. Mara moja mtumishi wake akamwambia: "Ole, bwana wangu! Tutafanya nini? Lakini yeye akasema: "usiogope, kwa maana wale walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao." Na Elisha akaanza kusali na kusema: "Ee Yehova, tafadhari fungua macho yake, ili aone." Mara moja Yehova akafungua macho ya yule mtumishi, hivi kwamba akaona; na, tazama! Lile eneo lenye milima lilikuwa limejaa farasi na magari ya vita ya moto kumzunguka Elisha pande zote."

Walipoanza kushuka kumwendea, Elisha akaendelea kusali kwa Yehova na kusema: "Tafadhali, lipige taifa hili kwa upofu." Basi yeye akawapiga kwa upofu kulingana na neno la Elisha. Sasa Elisha akawaambia: "Hii siyo njia, na hili silo lile jiji. Nifuateni, na acheni niwaongoze kwa yule mtu mnayemtafuta." Hata hivyo akawaongoza kwenda Samaria.

Na ikawa kwamba mara walipofika Samaria, ndipo Elisha akasema: "Ee Yehova, fungua macho yao waone." Yehova akafungua macho yao mara moja, nao wakaona; na, tazama, walikuwa katikati ya Samaria. Sasa mfalme wa Israeli akamwambia Elisha mara alipowaona: "Je, niwapige, je, niwapige, baba yangu?" Lakini akasema usiwapige. Je, unawapiga wale ambao wewe umewachukua mateka kwa upanga wako na upinde wako? Weka mkate mbele yao ili wale na kunywa, waende kwa bwana wao." Basi akawaandalia karamu kubwa; nao wakaanza kula na kunywa, kisha akawaacha, wakaenda zao kwa bwana wao. Na vikundi vya waporaji vya Wasiria havikurudi tena hata mara moja katika nchi ya Israeli."

Kwa hiyo maandiko yote mawili yana maana kubwa au mfano mkubwa kwa makundi yote ambayo yametajwa hapo juu ambayo yatapata msamaha wa serikali. Ni kwamba Yehova ametoa agizo la msamaha kwa sababu msamaha huo utawahukumu wahusika katika nafsi zao; kwa sababu watakapokuwa wakifikiria rehema walizotendewa, hawatarudia makosa yao ya zamani. Ndivyo alivyofanya Zakayo baada ya kumkaribisha Yesu alijisikia hatia juu ya ufisadi na rushwa alizokuwa akipokea naye akaahidi kuwalipa aliowadhurumu, kusaidia masikini n.k. Vivyo hivyo msamaha ambao serikali imetoa kwa watuhumiwa utawafanya wahusika kuwa watu wazuri katika jamii ili kulipia matendo waliyosababisha na itachochea jamii kuchukia matendo hayo. Na katika mfano wa pili, tunaona Wasiria waporaji baada ya kufanyiwa matendo mema badala ya mabaya; walipata somo kubwa sana na hawakurudi tena kuwasumbua Waisraeli, hii, ikiwa ni sehemu ya kulipia matendo mema waliyotendewa badala ya mabaya.

HITIMISHO: Ushauri huu ungefuatwa 2012 kusingekuwa na ufisadi wa Escrow au ufisadi mwingine

Aisee! Sikuungi mkono hata kidogo, kuwasamehe mafisadi ni kufanya kufuru zaidi, umetaja wanaostahili kusamehewa na sijaona wezi wa mifukoni, wezi wa kuku je hawa hawastahili kusamehewa? Ukiwasamehe mafisadi, hasara waliotupa kutokana na wizi wao tutaifidia vipi? Kaka Buberwa, Mtu aliyeiba karibu bil 1 na kuendelea ukimsamehe usitegemee atabadilika, sanasana atatafuta njia nyingine aibe zingine tena, si umeona ya Chenge?
 
Kweli nisikufiche, uwezo wako wa kijenga hoja ni mdogo sana sana, na Bahati mbaya hata hujijui, hizi pointi haziwezi kufanya pesa iwe ya umma, tusimuonee muwekezaji Haki yake apewe tuwaumu walotuingiza kwenye mkataba hata tukawa overcharged
Wawekezaji chini ya serikali ya ccm wanamiliki account zao BOT-safi sana ccm
 
Kwahiyo wewe unaamini hizo pesa hazikuwa za kuilipa IPTL?
Mkuu it seems akili yako ni ndogo sana let me assist you kidogo,ni hivi.wewe kama unanidai nakulipa wewe moja kwa moja either hand to hand,or through your account or mpesa or any possible means-lakini should be between us (mimi na wewe) ila nikiamua kuiweka hiyo pesa ambayo ningekulipa kwa Juma kwa sababu yoyote ile basi hiyo pesa si yako ingawa pia haiondoi ukweli kuwa unadai.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Kuelezea vizuri kwenu msiofahamu suala zima la escrow na iptl hadi msubiri kuhadithiwa na mgonjwa aliyehadithiwa na vilaza walioamua kumpotosha kwa Makusudi!Rais ni wa kuwa empeached huyu,mara kadhaa amekuwa akivunja katiba aliyoapa kuitetea!Anaongea Uongo mchana Kweupe bila aibu,ni kwa kuwa anadhani watu wote ni Mburula km ulivyo wewe mtoa mada na wapuuzi wenzako.Sivyo ilivyo,Wazee wenyewe walimshtukia upuuzi wake, na wangepata nafasi ya kumuuliza maswali pangenuka, sasa poyoyo km wewe unakurupuka na kuja kuhara hapa kama fisi!Shame!
 
Mkuu it seems akili yako ni ndogo sana let me assist you kidogo,ni hivi.wewe kama unanidai nakulipa wewe moja kwa moja either hand to hand,or through your account or mpesa or any possible means-lakini should be between us (mimi na wewe) ila nikiamua kuiweka hiyo pesa ambayo ningekulipa kwa Juma kwa sababu yoyote ile basi hiyo pesa si yako ingawa pia haiondoi ukweli kuwa unadai.

Akili yako changa sana kuelewa kitu, sasa huu ndiyo mfano gani? Mbona umejibu swari lako?
 
Sad sad sad...! Watanzania wekeni maslahi ya nchi mbele. Haya mambo yenu ya CCM na CHADEMA ndio yanazidi kuiharibu nchi, tupiganie nchi yetu as a team...!

Mambo gani ya CHADEMA yanaharibu nchi?ccm ndo walioharibu hii nchi.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Hawa UKAWA dawa yao ndogo tu,wao wakiingia barabarani kuandamana na nyie wana ccm mnaingia barabarani kuwatimua tu.
 
Watu wanaongea wanatokwa na povu utafikiria hawana kazi ya kufanya, ombeni na hela za Tanesco inazoilipa Songas, Aggreco si za wananchi nendeni mkadai.

Tunajua mchezo wa mafisadi katika mikataba na IPTL ni kuwa baada ya miaka ishirini ya Mkataba Tanesco imiriki mtambo huo,na huu usanii huu,hata hizo kesi za tozo na kubadildili umiliki ni networking ya kifisadi,sasa tumewachok.
 
Ni Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?

My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.

Sitaki kuamini kama una akili ndogo ya kupambanua mambo, pia sitaki kuamini kama hii post ulikaa ukiwa na akili timamu ukaona uwaandikie watu/wana-ccm. Jaribu kuitafakari upya post yako hii then unijibu kama ulikua timamu wakati unaandika na ulimaanisha unachokiandika kwa masrahi ya taifa ili.
 
Tunajua mchezo wa mafisadi katika mikataba na IPTL ni kuwa baada ya miaka ishirini ya Mkataba Tanesco imiriki mtambo huo,na huu usanii huu,hata hizo kesi za tozo na kubadildili umiliki ni networking ya kifisadi,sasa tumewachok.

Nendeni na songas na aggreco mkadai pesa za wananchi si kama IPTL tu?
 
Back
Top Bottom