Wewe waitakia nini?Hivi kingunge fani yake ni nini? Na elimu yake please!
Angekuwa makini Mwakyembe, nchemba, Nape, Muhongo wasingeteuliwa kuwa mawaziri
Kauli ya mkongwe wa siasa Kingunge Ngombale Mwiru kuwa CCM imeishiwa pumzi ya kuendelea kutawala, sasa ndiyo inajidhihirisha ukweli wake.
Hivi inawezekanaje chama kinachotamba kuwa kina wanachama 6m plus nchi nzima halafu leo Rais Magufuli ashindwe kupick katika Umati huo, kupata 4 tu ambao ni qualified wa kuziba nafasi hizo za baraza la mawaziri ambazo hadi sasa zinaendelea kubakia vacant??!!!!
Maji marefu darasa la nne, Deo Sanga la pili, Musukuma la saba, Jumanne Kishimba la saba, Njalu Silanga la nne sasa unategemea rais apate wapi mawaziri kama nyie CCM mlikataa wazo la Warioba kuwa mbunge walau aanze na digrii moja
Mm niliwaza hvyo pia lkn kuna mda nikajipa jibu kuwa au anasubiri watu wa Zanzibar wafanye uchaguzi ndio awape uwaziri lkn bado na sita kidogo hapo.
Mfumo ungeruhusu angechagua nje ya chama chake but haiwezekani.
upo sawasawa mkuu hili ni tatizo kwa ccm
Hao tiss naamini wamechangiaMwezi mzima TISS wameshindwa kumsaidia Rais kufanya upembuzi wa watu 277+, halafu kuna watu wanataka kuwapa sifa kwamba kidunia wanaongoza!!
Kwanza nianze kwa kusema, nimesikitishwa na kukosekana kwa watu makini wa kujaza nafasi sita zilizobaki kwenye wizara muhimu katika baraza hili la mawaziri.
Nina amini kabisa hata wengine wanaweza kukubaliana na mimi kwamba Raisi Magufuli ni mtu makini kwenye kazi yake na kutopitishwa kwa watu kama Membe, Nyalandu, Asha Migiro, Tibaijuka, Chenge, Kagasheki ni kuonyesha kwamba kwa kiasi kikubwa ufanisi na 'makandokando' hayana nafasi kwenye serikali ya JPM.
Ila pia kurudi kwa watu kama Makamba na Muhongo ni kudhihirisha sio kila anayelaumiwa na kusemwa, "hafai", na ukweli daima usimama baadaye.
MSHITUKO mkubwa niliopata ni hasa kuhusiana na kukosekana kwa watu KAMILI 34 kwenye baraza la mawaziri hasa kwenye wizara muhimu sana ILHALI ccm tuna wabunge 277+... Mimi nimesikitika sana kwamba wana ccm hasa wateuliwa hawana uzoefu au weledi wa kujumlishwa kwenye kuongoza taifa to the extend that Raisi ilibidi atoke nje ya wabunge wa ccm wateule kwenda kutafuta walioko nje ili waje kujazia.
Kwa kipindi kirefu niliamini kwamba walioweka CCM dosari ni watu wachache wasiozidi 20 (hasa wale waliokuwa kwenye uongozi hivi karibuni), sikujua tatizo ni kubwa sana kiasi hiki kama alivyotuonyesha Raisi Magufuli.
Watu wote 277+ hata wale wasiofahamika hawafai? Hali ni mbaya ndani ya CCM.
SIKUJUA KAMA HALI NI MBAYA KIASI HIKI.
Hao tiss naamini wamechangia
Sana kuifikisha nchi ilipo sasa.ni kun di la vilaza fulani hivi wasiojua majukumu yao.hawaaminiki
Hapa tunapata picha halisi ni kwa jinsi gani endapo kama baraza lingekuwa na wizara nyingi kama lilopita lingelikuwa na mawaziri mizigo tena isiyofaa kutua...
Mleta mada falsafa ya Magufuli imekupita kimo kuielewa kwanini anafanya hivyo
For your information anao tayari ni swala la kuwataja tu ila anacheza na saikolojia kuwandaa kwamba nafasi hizo sio za kuchezea
Simple logic huwezi kuchagua wanafunzi wazuri kwanza katika walio bora halafu waliobaki ndio uchague wazuri zaidi