CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

Kuna tija gani yeye kutaka kuwa kwenye midomo yetu wakati muda wa kampeni umeisha na yeye ni mshindi?....

Hoja nyingine ni mfu kabisa!

Mshindi kwa msaada wa pingu!!!!
Halafu jitu kubwa kama wewe unajivika pempas.
 
Pole sana.Wewe ni mkweli.Ila nasikitika sana kwamba watanzania tulio wengi ufahamu wetu ni mdogo sana,ndio maana viongozi wetu inakuwa rahisi sana kutudanganya.Tupende kusoma na kutafuta taarifa ili tusidanganyike kirahisi.

Lakini niseme kwamba hata hao mawaziri kutoka CCM Rais aliowaweka kwenye serikali yake sio kwamba wanafaa,lahasha.Sina shaka yeyote kwamba watu kama akina Muhongo,Mwakyembe,Nape na Mwigulu Rais amewaweka kwa shinikizo la CCM.Si watu wenye sifa nzuri kwa kuwa wengine wana tuhuma za ufisadi na wengine tabia zisizokubalika kimaadili katika jamii yetu.Naamini kabisa kwamba kama Magufuli asingekuwa na shinikizo kutoka CCM, kusingekuwa na waziri hata mmoja kutoka CCM.Hivi inaingia akilini kwamba Nape ni waziri kweli,hata kama wizara aliyopewa haina umuhimu kihivyo.Kuna mambo mazito nyuma ya pazia.

Mdau wizara ya michezo ina umuhim sana sana sanaaa,hatujawah fanya vizur kwenye michezo zaid ya ule mchezo wa KUKAZANA HADHARAN HUKO SOUTH AFRICA,so lazima tupate mtu competent ili Tanzania ing'ae michezoni,michezo ni ajira na ikifanyiwa mikakat madhubuti inaongeza pato la taifa,angalia UK,SPAIN,GERMAN,ITALY wanaingiq ngapi kupitia michezo?USA anaingizq ngapi kupitia michezo na burudani?Brazili je?njoo china,ethiopia na Kenya.
 
Angekuwa makini Mwakyembe, nchemba, Nape, Muhongo wasingeteuliwa kuwa mawaziri
Kwanza nianze kwa kusema, nimesikitishwa na kukosekana kwa watu makini wa kujaza nafasi sita zilizobaki kwenye wizara muhimu katika baraza hili la mawaziri.

Nina amini kabisa hata wengine wanaweza kukubaliana na mimi kwamba Raisi Magufuli ni mtu makini kwenye kazi yake na kutopitishwa kwa watu kama Membe, Nyalandu, Asha Migiro, Tibaijuka, Chenge, Kagasheki ni kuonyesha kwamba kwa kiasi kikubwa ufanisi na 'makandokando' hayana nafasi kwenye serikali ya JPM.

Ila pia kurudi kwa watu kama Makamba na Muhongo ni kudhihirisha sio kila anayelaumiwa na kusemwa, "hafai", na ukweli daima usimama baadaye.

MSHITUKO mkubwa niliopata ni hasa kuhusiana na kukosekana kwa watu KAMILI 34 kwenye baraza la mawaziri hasa kwenye wizara muhimu sana ILHALI ccm tuna wabunge 277+... Mimi nimesikitika sana kwamba wana ccm hasa wateuliwa hawana uzoefu au weledi wa kujumlishwa kwenye kuongoza taifa to the extend that Raisi ilibidi atoke nje ya wabunge wa ccm wateule kwenda kutafuta walioko nje ili waje kujazia.

Kwa kipindi kirefu niliamini kwamba walioweka CCM dosari ni watu wachache wasiozidi 20 (hasa wale waliokuwa kwenye uongozi hivi karibuni), sikujua tatizo ni kubwa sana kiasi hiki kama alivyotuonyesha Raisi Magufuli.

Watu wote 277+ hata wale wasiofahamika hawafai? Hali ni mbaya ndani ya CCM.

SIKUJUA KAMA HALI NI MBAYA KIASI HIKI.
 
...Lawama anazopewa January Makamba ni chuki tu na wivu wa kike wa majitu ya UKAWA.

...Uteuzi wa Muhongo, Makyembe ulikuwa necessary kwa ustawi wa sekta walizopangiwa.

...Kuhusu nafasi zilizosalia...Dkt Magufuli hataki tu kujaza watu...anataka kujaza right people...hivyo sioni kama kuna shida yoyote akiendelea kufanya tathmini ya majina aliyokuwa nayo. Pia ikumbukwe Dkt Magufuli hakuwa na genge la urais kama ilivyokuwa kwa wagombea wengine.
HAMY-D unakubaliana na opereshen ya Rais na Pm wake bandarini,TRA na TRL?je upuuz alioukuta ni zao la akina nani?sasa yanapozungumziwa mabehewa fake unamwachaje waziri alokua akisimamia hiyo wizara?mambo mengine mdau wala hayahitaj unazi wa vyama hapa,na labda ujue kuwa si kila anayekosoa ni mpinzani,wabongo wasio na vyama ni wengi sana,
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hali yaCCM ni mbaya. Hii ni kutokana na sababunyingi na miongoni mwake ni ubovu wauongozi ndani ya CCM. Hali hii ndiyoinayoifanya CCM kukosa mvuto kwa wananchi. Kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni dhahiri CCM ilikuwa katika hali mbaya.Wananchi wengi wamepoteza imani na CCM. Kama UPINZANI ungeweka watu makini kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni waziCCM ilikuwa inashindwa kwenye uchaguzi. Wako wanaCCM na wananchi wengi kwa mamilioni waliipigia kura CCM kwakuwa tu upinzani ulimweka mtu ambaye ni FISADI. Aidha wengi pia waliendelea kuipigia kura CCM kutokana na imani yao kwamgombea wa CCM kwamba pengine anaweza akabadili hali ya nchi na hasa kuhusianana utendaji wake.
Mambo yanayoendeleandani ya CCM kiuongozi na kiutendaji yanatisha. FITINA na Majungu ndiyo yanayotawala. Upendeleo ndio lugha inayotawala. Chama kimetekwa nyara na lobbysits. Kuna watu ndani ya CCM ambao hawana sifalakini wana madaraka makubwa kwa kuwa tu wanajikomba kwa viongozi wa juu nakupewa nafasi nyeti na zenye maamuzi. CCM imekuwa kuwa taasisi kama ilivyo kwa NSSF, Bima, Benki na kadhalikakiuendeshaji. Watu wako pale kwa maslahina siyo kutumikia wananchi. Viongoziwalio juu ni wazuri na makini kusikiliza majungu. Wengi wa viongozi wa CCM hawajui hali yakawaida ya maisha ya wananchi. Kujitoleandani ya Chama hakupo tena. Kufanyashughuli za chama mtu lazima atangulize malipo. Neno linalotawala ni POSHO, POSHO< POSHO. Mtu anafanya kazi za chamakwa malipo na hakuna kujitolea.
Chamakimweshikiliwa na watu wasiozidi 50 na kuwaacha mamilioni ya wanachama nawapenzi wake wasiwe na nguvu.
Imebaki kuonanamna chama kitakavyobadilika pale MAGUFULI atakapochukua madaraka come2017. Chama kinahitaji mabadilikomakubwa kiuendeshaji.
Hata wale baadhiya wanaCCM walioshinda ubunge wapo pale kwa maslahi tu. Hii ndiyo inayompa taabu magufuli. Ndani ya CCM kwa sasa ukiwa mwaminifu huweziukapata madaraka kwani utaonekana unaziba mianya ya wizi...........
 
Kwanza nianze kwa kusema, nimesikitishwa na kukosekana kwa watu makini wa kujaza nafasi sita zilizobaki kwenye wizara muhimu katika baraza hili la mawaziri.

Nina amini kabisa hata wengine wanaweza kukubaliana na mimi kwamba Raisi Magufuli ni mtu makini kwenye kazi yake na kutopitishwa kwa watu kama Membe, Nyalandu, Asha Migiro, Tibaijuka, Chenge, Kagasheki ni kuonyesha kwamba kwa kiasi kikubwa ufanisi na 'makandokando' hayana nafasi kwenye serikali ya JPM.

Ila pia kurudi kwa watu kama Makamba na Muhongo ni kudhihirisha sio kila anayelaumiwa na kusemwa, "hafai", na ukweli daima usimama baadaye.

MSHITUKO mkubwa niliopata ni hasa kuhusiana na kukosekana kwa watu KAMILI 34 kwenye baraza la mawaziri hasa kwenye wizara muhimu sana ILHALI ccm tuna wabunge 277+... Mimi nimesikitika sana kwamba wana ccm hasa wateuliwa hawana uzoefu au weledi wa kujumlishwa kwenye kuongoza taifa to the extend that Raisi ilibidi atoke nje ya wabunge wa ccm wateule kwenda kutafuta walioko nje ili waje kujazia.

Kwa kipindi kirefu niliamini kwamba walioweka CCM dosari ni watu wachache wasiozidi 20 (hasa wale waliokuwa kwenye uongozi hivi karibuni), sikujua tatizo ni kubwa sana kiasi hiki kama alivyotuonyesha Raisi Magufuli.

Watu wote 277+ hata wale wasiofahamika hawafai? Hali ni mbaya ndani ya CCM.

SIKUJUA KAMA HALI NI MBAYA KIASI HIKI.

mi nadhani umeelewa vibaya inaonyesha wapo wengi wanaofaa na competition ni kali. wakikurupuka wanaweza wasipate cream itakayokuwa the best
 
MSHITUKO mkubwa niliopata ni hasa kuhusiana na kukosekana kwa watu KAMILI 34 kwenye baraza la mawaziri hasa kwenye wizara muhimu sana ILHALI ccm tuna wabunge 277+... Mimi nimesikitika sana kwamba wana ccm hasa wateuliwa hawana uzoefu au weledi wa kujumlishwa kwenye kuongoza taifa to the extend that Raisi ilibidi atoke nje ya wabunge wa ccm wateule kwenda kutafuta walioko nje ili waje kujazia.

Kwa kipindi kirefu niliamini kwamba walioweka CCM dosari ni watu wachache wasiozidi 20 (hasa wale waliokuwa kwenye uongozi hivi karibuni), sikujua tatizo ni kubwa sana kiasi hiki kama alivyotuonyesha Raisi Magufuli.

Watu wote 277+ hata wale wasiofahamika hawafai? Hali ni mbaya ndani ya CCM.

SIKUJUA KAMA HALI NI MBAYA KIASI HIKI.

Sio wote wanaogombea ubunge huwa wanataka kuwa mawaziri mwingine hata ukitaka kumpa hataki.

Mwana CCM yeyote ana haki ya kuteuliwa uwaziri awe mbunge au asiwe mbunge.Na aweza kukubali uteuzi au akakataa.

Vipi wewe unautaka uwaziri? Hapo ulipo tu umeifanyia nini nchi hadi upewe? Au unaota tu marupu rupu ya uwaziri?

Halafu wewe sio CCM ni makapi yaliyotimka na Lowasa post zako ni za kuponda tu magufuli huna lolote
 
Hizo sekta vimeo zinahitaji tafakuri ya kutosha wana CCM msihofu mtateuliwa tu ila tunajua kuwa LOWASA team CCM lazima ipembuliwe na kuachwa kando wasijevuruga kasi aliyoanza nayo
 
Hao 250+wengi ni mabumunda tu hamna kitu,cv zao zilipofika kwa JPM akaziangaliaa akatupa kule hata walio na afadhali ya elimu wana madoa ya ufisadi na rushwa yaani unaona huruma na bado hapo hata waoliteuliwa baadhi yao ni vimemo tu na mashinikizo.wakiwa bungeni ndio kabisaa unasikia hata kichefuchefu kila kitu ndioooooooooooooo.ELIMU,ELIMU ELIMU.
 
Kauli ya mkongwe wa siasa Kingunge Ngombale Mwiru kuwa CCM imeishiwa pumzi ya kuendelea kutawala, sasa ndiyo inajidhihirisha ukweli wake.
Hivi inawezekanaje chama kinachotamba kuwa kina wanachama 6m plus nchi nzima halafu leo Rais Magufuli ashindwe kupick katika Umati huo, kupata 4 tu ambao ni qualified wa kuziba nafasi hizo za baraza la mawaziri ambazo hadi sasa zinaendelea kubakia vacant??!!!!

Hivi kingunge fani yake ni nini? Na elimu yake please!
 
Angekuwa makini Mwakyembe, nchemba, Nape, Muhongo wasingeteuliwa kuwa mawaziri

nikiangalia kutoka kwa nje, naona kurudi kwa mawaziri wa awamu ya nne, inachangiwa sana na uhaba wa 'watu makini' ndani ya CCM kwa ujumla sasa hivi.

Raisi Magufuli Alipomchagua Mhe. Majaliwa K Majaliwa - imani yangu iliongezeka sana na nikaona sasa tunaweza kuwa na squad mpya ya watu walio na elimu, unyofu, weledi na lifestyle ya Nyerere ambao hawakupewa nafasi hiyo kwenye serikali iliyopita kwasababu hawakuwa-connected na JK au kumshabikia (kwenye siasa hili ni jambo la kawaida kulipwa fadhila kwa kuonyesha ushabiki mwingi);

nimeshangaa watu hao 'wa kusadikika' kumbe hawapo mpaka imebidi wachezaji wengine wa awamu ya nne wabadilishe jezi warudi tena uwanjani kusaidia kuendesha nchi.
 
Kwani wabunge wa zanzibar si wapo. Uchaguzi wao haukufutwa. Zanzibar kampata mwinyi na makame mbarawa tu ndo kaona wanafaa
 
Anaepuka kuvunja vunja baraza la mawaziri.
Mkuu hilo halikwepeki watu wenyewe hao!!!unadhani wataogopa ukali na matisho ya JPM??walishazoea deal na wizi ni sehemu ya maisha yao watakuja na mbinu mpya,ila moto wa ukawa watawaaibisha kama kawaida sasa hivi ukawa wako kimya wanawasubiri waanze hayo mambo yao ya kijingajinga pale mbungeni moto utawaka.
 
YEHODAYA makapi hawana haki ya kujadili mambo yanayomhusu Rais wa Jamhuri wa Muungao Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
Kauli ya mkongwe wa siasa Kingunge Ngombale Mwiru kuwa CCM imeishiwa pumzi ya kuendelea kutawala, sasa ndiyo inajidhihirisha ukweli wake.
Hivi inawezekanaje chama kinachotamba kuwa kina wanachama 6m plus nchi nzima halafu leo Rais Magufuli ashindwe kupick katika Umati huo, kupata 4 tu ambao ni qualified wa kuziba nafasi hizo za baraza la mawaziri ambazo hadi sasa zinaendelea kubakia vacant??!!!!

Hilo swali unapaswa uulize kwa TanZania nzima na siyo CCM tu kwani Raisi ana uwezo pia wa kuteua ambaye siye CCM kumpa Ubunge na kumteau kuwa Waziri lkn mpka sasa hivi hajapata bado !
 
Jmakamba na nape kawaficha kama yeye alivyofichwa kwenye wizara ya vitoweo awamu ya kwanza ya JK. Hapo ni tit for tat.
 
Mwezi mzima TISS wameshindwa kumsaidia Rais kufanya upembuzi wa watu 277+, halafu kuna watu wanataka kuwapa sifa kwamba kidunia wanaongoza!!
 
Acheni kusema sana na Moyo wa Raisi au anachokifikiria tuwe na Moyo wa kusubiri anao muda wa kutosha na watu ni wengi ndani ya Mama Tanzania .Ana uwezo wa kumteua ye yote miongoni mwa Wananchi wa Nchi hii KIKATIBA NA HAKUNA KIPENGELE CHO CHOTE NDANI YA KATIBA KUHUSIANA NA UTEUZI ANAOUFANYA MH.RAISI KINACHO MWAMBIA AMTEUWE NANI? BALI NAFSI YAKE INAMWAMBIA ISHI TENDA KWA MANENO YAKO
 
Pole sana.Wewe ni mkweli.Ila nasikitika sana kwamba watanzania tulio wengi ufahamu wetu ni mdogo sana,ndio maana viongozi wetu inakuwa rahisi sana kutudanganya.Tupende kusoma na kutafuta taarifa ili tusidanganyike kirahisi.

Lakini niseme kwamba hata hao mawaziri kutoka CCM Rais aliowaweka kwenye serikali yake sio kwamba wanafaa,lahasha.Sina shaka yeyote kwamba watu kama akina Muhongo,Mwakyembe,Nape na Mwigulu Rais amewaweka kwa shinikizo la CCM.Si watu wenye sifa nzuri kwa kuwa wengine wana tuhuma za ufisadi na wengine tabia zisizokubalika kimaadili katika jamii yetu.Naamini kabisa kwamba kama Magufuli asingekuwa na shinikizo kutoka CCM, kusingekuwa na waziri hata mmoja kutoka CCM.Hivi inaingia akilini kwamba Nape ni waziri kweli,hata kama wizara aliyopewa haina umuhimu kihivyo.Kuna mambo mazito nyuma ya pazia.

Turejee kaulimbiu 'hapa kazi tu' kisha kikao cha dharura 'nec' tusubr tuone.........sisiem ni ile ile tu!
 
Back
Top Bottom