CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

Maji marefu darasa la nne, Deo Sanga la pili, Musukuma la saba, Jumanne Kishimba la saba, Njalu Silanga la nne sasa unategemea rais apate wapi mawaziri kama nyie CCM mlikataa wazo la Warioba kuwa mbunge walau aanze na digrii moja

ww unafikir Sugu,Mbowe na mnyika wangepata ubunge mpaka sasa?
 
Kauli ya mkongwe wa siasa Kingunge Ngombale Mwiru kuwa CCM imeishiwa pumzi ya kuendelea kutawala, sasa ndiyo inajidhihirisha ukweli wake.
Hivi inawezekanaje chama kinachotamba kuwa kina wanachama 6m plus nchi nzima halafu leo Rais Magufuli ashindwe kupick katika Umati huo, kupata 4 tu ambao ni qualified wa kuziba nafasi hizo za baraza la mawaziri ambazo hadi sasa zinaendelea kubakia vacant??!!!!

sio kwamba watu hawapo wakujaza hizo nafasi ila amekosa kuwatambua umakin wao kazn. Hataki kukurupuka anamchunguza mtu na kujua utendaji wake kiundan.

Hayo mnayotaka ya kujaza nafasi tu pasipo kujua ni mtu gani amewekwa ilimradi nafasi imejazwa ndio hayo yaliyompoza vasco da gama wa msoga
 
Siamini kuwa ameshindwa kuwapata, ninachoona anataka muendelee kusubiria kama makinda ya ndege kana kwamba hao mawaziri watakuwa na jipya lolote.
Kwa upande wa magufuli, hiyo itamfanya aendelee kuwa kwenye midomo yenu na kwenye vyombo vya habari (vya mijini) angalau hadi bunge litakapoanza.

Kuna tija gani yeye kutaka kuwa kwenye midomo yetu wakati muda wa kampeni umeisha na yeye ni mshindi?....

Hoja nyingine ni mfu kabisa!
 
Pole sana.Wewe ni mkweli.Ila nasikitika sana kwamba watanzania tulio wengi ufahamu wetu ni mdogo sana,ndio maana viongozi wetu inakuwa rahisi sana kutudanganya.Tupende kusoma na kutafuta taarifa ili tusidanganyike kirahisi.

Lakini niseme kwamba hata hao mawaziri kutoka CCM Rais aliowaweka kwenye serikali yake sio kwamba wanafaa,lahasha.Sina shaka yeyote kwamba watu kama akina Muhongo,Mwakyembe,Nape na Mwigulu Rais amewaweka kwa shinikizo la CCM.Si watu wenye sifa nzuri kwa kuwa wengine wana tuhuma za ufisadi na wengine tabia zisizokubalika kimaadili katika jamii yetu.Naamini kabisa kwamba kama Magufuli asingekuwa na shinikizo kutoka CCM, kusingekuwa na waziri hata mmoja kutoka CCM.Hivi inaingia akilini kwamba Nape ni waziri kweli,hata kama wizara aliyopewa haina umuhimu kihivyo.Kuna mambo mazito nyuma ya pazia.
Kwanza nianze kwa kusema, nimesikitishwa na kukosekana kwa watu makini wa kujaza nafasi sita zilizobaki kwenye wizara muhimu katika baraza hili la mawaziri.

Nina amini kabisa hata wengine wanaweza kukubaliana na mimi kwamba Raisi Magufuli ni mtu makini kwenye kazi yake na kutopitishwa kwa watu kama Membe, Nyalandu, Asha Migiro, Tibaijuka, Chenge, Kagasheki ni kuonyesha kwamba kwa kiasi kikubwa ufanisi na 'makandokando' hayana nafasi kwenye serikali ya JPM.

Ila pia kurudi kwa watu kama Makamba na Muhongo ni kudhihirisha sio kila anayelaumiwa na kusemwa, "hafai", na ukweli daima usimama baadaye.

MSHITUKO mkubwa niliopata ni hasa kuhusiana na kukosekana kwa watu KAMILI 34 kwenye baraza la mawaziri hasa kwenye wizara muhimu sana ILHALI ccm tuna wabunge 277+... Mimi nimesikitika sana kwamba wana ccm hasa wateuliwa hawana uzoefu au weledi wa kujumlishwa kwenye kuongoza taifa to the extend that Raisi ilibidi atoke nje ya wabunge wa ccm wateule kwenda kutafuta walioko nje ili waje kujazia.

Kwa kipindi kirefu niliamini kwamba walioweka CCM dosari ni watu wachache wasiozidi 20 (hasa wale waliokuwa kwenye uongozi hivi karibuni), sikujua tatizo ni kubwa sana kiasi hiki kama alivyotuonyesha Raisi Magufuli.

Watu wote 277+ hata wale wasiofahamika hawafai? Hali ni mbaya ndani ya CCM.

SIKUJUA KAMA HALI NI MBAYA KIASI HIKI.
 
Lusinde aliishia la nne, Lubeleje la saba, jairo la saba...................................waliobakia ni mafisadi papa tibaijuka, chenge, etc

Bado ni aibu kigezo cha kujua kusoma na kuandika mmh,rais ana maono ya mbali wabunge wana maono ya hapa,watasumbuana tu
 

Attachments

  • 1449907385044.jpg
    1449907385044.jpg
    38.6 KB · Views: 484
Maji marefu darasa la nne, Deo Sanga la pili, Musukuma la saba, Jumanne Kishimba la saba, Njalu Silanga la nne sasa unategemea rais apate wapi mawaziri kama nyie CCM mlikataa wazo la Warioba kuwa mbunge walau aanze na digrii moja

.....Shaban Shekilindi wa lushoto std 7
 
...Lawama anazopewa January Makamba ni chuki tu na wivu wa kike wa majitu ya UKAWA.

...Uteuzi wa Muhongo, Makyembe ulikuwa necessary kwa ustawi wa sekta walizopangiwa.

...Kuhusu nafasi zilizosalia...Dkt Magufuli hataki tu kujaza watu...anataka kujaza right people...hivyo sioni kama kuna shida yoyote akiendelea kufanya tathmini ya majina aliyokuwa nayo. Pia ikumbukwe Dkt Magufuli hakuwa na genge la urais kama ilivyokuwa kwa wagombea wengine.
 
Ashumpta mshana huyu mama ni kichwaa sana sijui kwann ameachwa kuna lusinde huyu jamaa naye ni mtaalam sana kuna prof maji marefu huyu jamaa angefaa sana wizara ya afya kuna murad sadiq na aziz abood hawa wangefaa sana wizara ya uchukuzi kuna dahh list ni ndefu sanaaa

Now ni DC huyo mama Mshana kwa kua alianguka kura za MAONI
 
sio kwamba watu hawapo wakujaza hizo nafasi ila amekosa kuwatambua umakin wao kazn. Hataki kukurupuka anamchunguza mtu na kujua utendaji wake kiundan.

Hayo mnayotaka ya kujaza nafasi tu pasipo kujua ni mtu gani amewekwa ilimradi nafasi imejazwa ndio hayo yaliyompoza vasco da gama wa msoga

Leo hii na wewe unamwita VASCO DA GAMA yule jamaa mliyekuwa mnakesha kupeana zamu kumsifia? Maajabu kweli hayaishi. Jibu ni moja tuu, ndani ya CCM hakuna kabisa watu 4 wakufiti katika wizara zile muhimu.
Ingekuwa katiba inawaruhusu CCM wangetafuta kutoka Net Group Solution ya South Africa kuendesha wizara hizo kama walivyofanya kwa Tanesco wakati ule.
 
sio kwamba watu hawapo wakujaza hizo nafasi ila amekosa kuwatambua umakin wao kazn. Hataki kukurupuka anamchunguza mtu na kujua utendaji wake kiundan.

Hayo mnayotaka ya kujaza nafasi tu pasipo kujua ni mtu gani amewekwa ilimradi nafasi imejazwa ndio hayo yaliyompoza vasco da gama wa msoga

Mwakyembe utendaji wake ulionekana pale TRL na Bandarini
 
Sasa kuna lile kundi jingine la kina Sugu, Lau Masha, Msindai, Mgeja, Lema, Babu K etc.
Nako majanga tu.
Ni lazima tuhakikishe kuwa tuna wabunge wasomi na weledi. Vinginevyo taifa litaangamia.

Lau Masha ni msomi wa kiwango cha degree labda humjui
 
Mm niliwaza hvyo pia lkn kuna mda nikajipa jibu kuwa au anasubiri watu wa Zanzibar wafanye uchaguzi ndio awape uwaziri lkn bado na sita kidogo hapo.
Mfumo ungeruhusu angechagua nje ya chama chake but haiwezekani.
Mfumo unaruhusu, ila ishu inakuwa ngumu ukimpa mpinzani uwaziri means unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe, Sitaweza kumsahau mbatia mbunge viti maalumu wa kikwete, alivyo sumbua.
 
Back
Top Bottom