Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Wee mpuuzi acha upuuzi, una uhakika na hiyo ngazi ya elimu unayoitaja?. Wewe ni mvivu wa kufikiri....
haya sasa, matusi mwisho mtaani kweni huku hoja pinga kwa hoja kama vipi tulia.
Wee mpuuzi acha upuuzi, una uhakika na hiyo ngazi ya elimu unayoitaja?. Wewe ni mvivu wa kufikiri....
CHADEMA :Onesmo Nangole darasa la 7,Sugu la 7,Lema form 2,Mbowe kapata div '0' form 6,Kubenea ni kanjanja,Kalanga ni la 7,Jafari Michael hivyo hivyo
Umemsahau La Kairo Yule Wa Rorya,nasikia Alikomea Chekechea Enzi Hizo Ikiitwa Vidudu,akalala Mbele!!
Hapo nadhani ndio kuna tatizo kubwa sana. Ni kama wengi ndani ya CCM hawathamini elimu na wenye elimu inabidi Raisi awatoe kutoka nje ya Bunge maana ndani walishanyimwa kuwa viongozi.
kishmba hakusoma hata darasa moja believe me,mwingine ni stdVII leaver ni Lameck Airo
Faizafoxy, simiyu kwetu, nyani ngabu, ccm 2015, et al mje mtokwe povu.....6million ccm members wametepeta???
Inabidi tuanze na KATIBA mpya ya warioba nda tume itapata mwanya wa kuwa huru na vyombo vingine kama takukukuru
Hongera mkuu kwa kulitambua hili,. Ni kama kizazi cha panya vile, HAKIBADILIKI, hata kilipopata nafasi ya kuishi na binadam kinyemela kimebaki kua kizazi cha panya tu. JPM ana kazi yaziada hasa,
Nia ya CCM iikuwa ni kupata watu wengi bungeni kwa akili ya kujibu Ndiyooooo! Habari ya uongoza watanzania haipo. Unategemea kwenye kundi hilo atoke waziri! Thubutu.Ujinga ndiyo silaha ya ccm.
itabidi tujibadilishe kwa nguvu, kuna scope hiyo kwahiyo tujipange, tupeleke watu shule, maana kama tunataka kuendelea kuongoza, itafikia wakati hatuna wa kumteua kuongoza.
Hapa nina wasiwasi japo najua umuhimu wa elimu, hawajamaa nahisi hawataki watu wasome ili waendele kuwatawala wanavyotaka, kwa vijizawadi zawadi wakati wa kampeni na ahadi amabzo hazimwingii msomi yoyote laba aliyegushi vyeti.