Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Ujamaa hauna mapugufu makubwa ni mtazamo hasina finyu watu ndio wanaouona hivyo ujamaa. Hata Sera kama za afya UK NHS ni sehemu ya sera za ujamaa. Obama naye kaingiza fya ya USA kwenye ujamaa fulani.Ujamaa una mapungufu makubwa..sana kwenye mfumo wa kuendesha maisha ya watu huru na kufanya kazi kwa bidii..
Baadhi ya mapungufu makubwa yaliyokuwepo kwenye ujama wetu Tanzania ni
- ubinafsi wa viongozi amabao hata kwenye uchumi huria upo......
- Wakubwa wa dunia kutofurahishwa na mfumo huo hivyo kutoupa support ya kupaa na kuuminya.
Lengo la WB/WB ni kutfanya tuwe consumers tu. Ona hata kiwanda cha baiskeli hatuna eti Soko huria. China na Korea wangefuata hayo wasingekuwa hivyo.