luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
kumbe ndio zao wamelaaniwaInformer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
huyu n chizi hawwz kuelewasio kwa milioni 16 aisee kwa vitu vya dola 4,600, huo ni wizi sasa,
huyu n chizi hawwz kuelewasio kwa milioni 16 aisee kwa vitu vya dola 4,600, huo ni wizi sasa,
kwahiyo ni sahihi mzigo wa dola 4600 kulipa ushuru wa m 16mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
kwahiyo ni sahihi mzigo wa dola 4600 kulipa ushuru wa m 16mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
Una dalili zote za kuwa muajiriwa wa malipo hafifu.labda wewe mpingaji ndio hujanielewa
huyu anakula bure kwa shemeji yake hajui kituACHA kuharisha jf mtu WANGU, hujui kaa kimya, hujawahi hata kuuza wembe halafu unaharisha.
huyu anakula bure kwa shemeji yake hajui kituACHA kuharisha jf mtu WANGU, hujui kaa kimya, hujawahi hata kuuza wembe halafu unaharisha.
kwahiyo cdm ndio inaongoza tra?Machadema yamejaa TRA. Unategemea nini?
Una dalili zote za kuwa muajiriwa wa malipo hafifu.labda wewe mpingaji ndio hujanielewa
Mkuu, usikariri tu huo msemo. Hivi ni kweli enzi zinabadilika kwa kuweka ushuru ambao ni 200% ya thamani ya mzigo?mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
nimeshaelewa chuki zako dhidi ya watu wa ukanda ule ambao wamesoma kwa bidii na wamejaA ktk taasisi nyeti za kifedha kama tra bot nkMachadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi
Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.
Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
hujakosea huyu n KKB(KULA KULALA BURE)Dogo bila shaka unakula kwa shemeji wewe
huyu anakula kwa shemeji hajui maishaUna dalili zote za kuwa muajiriwa wa malipo hafifu.
mkuu huyu hajui maisha anakula bure kwa wazazi usihangaike na wapuuz kama hawaMkuu, usikariri tu huo msemo. Hivi ni kweli enzi zinabadilika kwa kuweka ushuru ambao ni 200% ya thamani ya mzigo?
mkuu uliwawezaInformer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
On the contrary....CCM na Magufuli ndo wanawahujumu TRA na WananchiHali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.
Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.
Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.
Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Sasa hapa mchonganishi ni nani? Mtoza ushuru mkubwa au mtoa taarifa?Kama hizo habari siyo za ukweli utakua unalichonganisha taifa lako na wananchi wake
sio suala la kukariri cha msingi hapa ni kuwa wazalendo kwa kulipa kodi stahiki basi.Mkuu, usikariri tu huo msemo. Hivi ni kweli enzi zinabadilika kwa kuweka ushuru ambao ni 200% ya thamani ya mzigo?