mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,758
Mtu aliyekwama kwenye tope akimuelekeza aliyetoka kwenye tope jinsi ya kutoka kwenye tope
" First they came for the Jews, but I did nothing because I'm not a Jew. Then they came for the socialists, but I did nothing because I'm not a socialist. Then they came for the Catholics, but I did nothing because I'm not a Catholic. Finally, they came for me, but by then there was no one left to help me " Martin Niemoller

Siyo CCM na Chadema tu hata wewe unatakiwa kuyatafakari hasa kwa ulivyo bendera fuata upepo.
Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Umeongea MKUU...Me naona Hawa wanaweza binafsisha nchi kabisa.PtuuuhHata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Mengine ikitumika lugha ya taifa tutapoteza maana kiuhalisia yaani hapo yuko sahihi. Kwa ufupi si tafsiri yake yaani, waliposakamwa machinga sikusema kitu kwa kuwa mimi sikuwa mmachinga, waliposakamwa madaktari nilikaa kimya kwa kuwa mimi si daktari, waliposakamwa viongozi wa dini pia nilikaa kimya kwa kuwa sina dini wala sikuwa kiongozi. Walipofika kwangu walinitesa na watu wengine walikaa kimya pia hawakunisaidia. Yaani unaposikia mwenzako anaumizwa ungana naye kupambana ili kumuokoa. Usipofanya hivyo kesho itakuwa kwako. Namba tutaisoma wote Nape kaisoma juzi alidhani ni kwa wapinzani tu lakini imemfikia. Kama na hapo hujaelewa basi kasome memkwa.Tumia lugha ya taifa ueleweke na wengi jombaa
TUMIA LUGHA YA TAIFA KAMA ULIVYO SHAURIWA.Bashite nini?
Kwan Mwenyekiti hawezi kuelewa????Tumia lugha ya taifa ueleweke na wengi jombaa
Kama palamagamba, teh teh...Mimi niko principled kuzidi hata uwezo wako wa kuelewa.
Hii inaonyesha unakubaliana na huo ujumbe kuwa una ukweli mwingi!Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Asante kamanda ngoja nikaazime dictionary" First they came for the Jews, but I did nothing because I'm not a Jew. Then they came for the socialists, but I did nothing because I'm not a socialist. Then they came for the Catholics, but I did nothing because I'm not a Catholic. Finally, they came for me, but by then there was no one left to help me " Martin Niemoller
Unaonaje urudi nyumbani ubongo wako ukae sawa? Shughuli za kuosha vyombo marekani zinakuharibu akili sababu ya sabuni zenye kemikali kaliHata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Jamaa alidhani polisi wapo kwa ajili ya wapinzani tu. Sasa jana kashangaa" First they came for the Jews, but I did nothing because I'm not a Jew. Then they came for the socialists, but I did nothing because I'm not a socialist. Then they came for the Catholics, but I did nothing because I'm not a Catholic. Finally, they came for me, but by then there was no one left to help me " Martin Niemoller