simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Umeandika upuuzi gani huu. Utakuwa na tabia za Kibashite sio bure.Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.