vantz
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 1,107
- 570
Una Roho mbaya ndio maanaHata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Halafu hawa CHADEMA bana...huwa siwaelewi kwa nini wanapenda kuwapa ushauri CCM!
Mimi siwezi kumpa ushauri mpinzani wangu hata siku moja hususan akiwa anajimaliza mwenyewe.