LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,197
- 14,903
LumumbaTumia lugha ya taifa ueleweke na wengi jombaa
LumumbaTumia lugha ya taifa ueleweke na wengi jombaa
Unaonaje urudi nyumbani ubongo wako ukae sawa? Shughuli za kuosha vyombo marekani zinakuharibu akili sababu ya sabuni zenye kemikali kali
Dah!! Jombaa umekuwa mpiga ramli siku hizi!! 😀😀😀😀😀Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Kasome English course. Kwani kila hoja uchangie kaa kimya umbea tuTumia lugha ya taifa ueleweke na wengi jombaa
Dah!! Jombaa umekuwa mpiga ramli siku hizi!! 😀😀😀😀😀
Siyo CCM na Chadema tu hata wewe unatakiwa kuyatafakari hasa kwa ulivyo bendera fuata upepo
Kwanza walikuja kwa Wayahudi, lakini sikufanya chochote kwa kua mimi si Myahudi." First they came for the Jews, but I did nothing because I'm not a Jew. Then they came for the socialists, but I did nothing because I'm not a socialist. Then they came for the Catholics, but I did nothing because I'm not a Catholic. Finally, they came for me, but by then there was no one left to help me " Martin Niemoller
" First they came for the Jews, but I did nothing because I'm not a Jew. Then they came for the socialists, but I did nothing because I'm not a socialist. Then they came for the Catholics, but I did nothing because I'm not a Catholic. Finally, they a
came for me, but by then there was no one left to help me " Martin Niemoller
It's common sense.
Hivi kabisa unawaamini CHADEMA chini ya mazingira haya ya katiba itumikayo sasa?
Tulikosea sana tulipoamua kuingia mfumo wa siasa za vyama vingi bila kuandika katiba mpya.
Afrika Kusini waliandika katiba mpya walipoamua kuutupilia mbali mfumo wa kibaguzi wa Apartheid.
Imagine ANC kama wangekuwa wanatawala kwa kutumia katiba ile ile iliyotumiwa na makaburu....
I'm just sayin'....
Ninamjibu post ya Nyani Ngabu hapo juu.Nyani, tunaongea mambo present tense siyo mambo ya future ya kufikirika pkease.
Mla ni mla leo..
Chadema hawako madarakani remember.
Fafanua ujumbe una maana gani. Hatuhitaji tafsiri. Tafadhali fafanua Fumbo hili." First they came for the Jews, but I did nothing because I'm not a Jew. Then they came for the socialists, but I did nothing because I'm not a socialist. Then they came for the Catholics, but I did nothing because I'm not a Catholic. Finally, they came for me, but by then there was no one left to help me " Martin Niemoller
It aint common sense...kwani unaongelea kwa hisia na siyo uhalisia...unaongelea hali ambayo bado haijatokea. Ndiyo maana nimekwambia umekuwa mpiga ramli.
Wewe unasema huwaamini CHADEMA kwa mazingira haya ya katiba ya sasa. Mwingine anaweza kusema anawaamini kutokana na maneno yao ya kutaka katiba bora. Ila yote haya ni upiga ramli.
Hivi ikulu kuna mabanda ya tausi?.Hata na wao wanaona. Jana Nnape kashikiwa bastola...Nnape huyuhuyu ambae alikuwa anaweza kwenda Ikulu kama kwa Mjomba wake vile
Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.
Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.
Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Yes sir...as it is for yours....Well..it's your opinion and you are entitled to it.
Google translator imeshindwa kutoa tafsiri sahihikumbe hii lugha wengi inatukimbizamo!
View attachment 486256
Poor Slaa!Kitendo alichokifanya Mbowe kilionyesha kabisa si mtu wa kuaminiwa hata kidogo.
Poor Slaa!
Siyo labda. Wako hovyo kuliko watu wa hovyo wooote