CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!

Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.
 
asichanganyikiwe mchezo, mapesa yote yale na madili yote yanayeyuka hivi hivi anaona, lakini hii pekee haitoshi ilikuwa inafaa ashitakiwe kwa ufisadi na hasara aliyoisababishia serikali.
 
....maneno ya mkosaji, amesahau alivyokuwa akiwaaminisha wapiga kura wake kuwa kuhusu ubora wa CCM? Bado ni kijana mdogo atafute kazi ya kufanya, uwaziri sio kazi ya kujivunia hata kidogo. Kama amepoteza network aje tumwonyeshe pa kuanzia.
 
Huyu jamaa si ana majumba mawili ya dola 410,000 kila moja....

Na malori yanayomuingizia dolari 20,000 kwa mwezi....

Dude is ballin'
Alisema bado anadaiwa kulipa mkopo aliokopa CRDB na anategemea kumaliza deni mwaka 2015,kazi anayo
 
Huyu dogo utoto na utajiri anaomiliki vinamsumbua sana.Mwambieni aje uswazi tumpe michongo.
 
issue sio uwaziri issue kwenye mataa au traffic jam sarenda na no za kawaida noma ha ha ha ha wanazugaga na gazeti mi nikikutana nae yeye na ngereja lazima niwapigie maoni kwa sana pipipiiiiiii willy piupiiii au maigeeee maigeeeee...
 
Ametoa kauli hiyo akiwa kaunta ya polisi au wapi? He deserve time in a cell
 
Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!

Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.


Swali langu sasa ni je Ule mkopo USD400,000 atalipa na income za yale malori mawili?????????????
 
Huyu ngereja na maige mie sipendi hata kuwasikia.......yani umeme juu na huyu mwingine kaiba twiga wetu kudadadadeki.Tutaanza kuzichoma moto mali zao kama hawatazilejesha.
 
Kwanini wasishtakiwe, kuvuliwa huo ubosi haitoshi...apelekwe kwa pilato tuone kama pilato atanawa mikono na kusema "simjui mtu huyu" badala yake pilato atamwambia "unanihusu brother"
 
Swali langu sasa ni je Ule mkopo USD400,000 atalipa na income za yale malori mawili?????????????
Kumbe hujui kama jamaa anamiliki vitalu vya uwindaji?atatumia vitalu hivyo kulipa ingawa wameshea na jamaa mmoja hivi wa Netherlands.This country bwana.
 
Nani kakwambia ule ulikuwa ni mkopo, hapo tayari walishamalizana kiaina, hata kama cash haikutolewa itakuwa ililipwa kwa namna nyingine ya takrima.
 
shame on him! kwani lazima uwe waziri kuna nini mpaka watu wanangangania hivyo? au ndo mkopo aliosema unamchanganya?
 
Hakika Reagan umenena, should be "behind bars" by this time...
 
Mwambieni Segerea inamsubili alafu uwaziri ni suala la kupokezana vijiti
 
Kama kweli dogo amesema hivyo, ameonyesha ni jinsi gani sio mature politically.
Ni sawa na kusema Kama ni Mbwai ni mbwai au Sizitaki mbichi hizi.

Kama katolewa kafara au nini, hakuna la ajabu, ndio mambo ya siasa (hata EL anadai ametolewa kafara).
Dogo anatakiwa kutuliza mzika na kutoongea hovyo hovyo, while calculating his next move.
bado kuna nafasi nyingi za watu kama yeye wa kupunguziwa majonzi (u RC, ubalozi) na kwingine.
Haoni mfano kwa akina Tyson, wametemwa mara ngapi na leo hii bado ni mawaziri?????
 
Back
Top Bottom