Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?


Wazee wa kale hawajawahi kukosea. Ukiona. Mke wa jirani anafuatilia sana ya ndani mwenu ujue HATOSHEKI aliko. So tell us mkuu. Shida yako hasa nini. Tufanye yote hayo kweli. Wewe unahitaji Nini. Mana kama Ni mpinzani wa hicho chama. Bado haitakusaidia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
C
Hapo ndo huwa naona CCM ina intelejensia ya hali ya juu. Kumwacha Membe ilikuwa hatari zaidi. Huenda Membe mwenyewe alitegemea angefungiwa ila hii ya kumfukuza ni kama imemshtua. Ndo maana kajikuta anaropoka vitu nje vya taaluma yake.
CCM hawana intelijensia yoyoye ya Hali ya juu ndugu yangu.
CCM inategemea vyombo vya Dola.TISS.
 
Bashiru atakuja kuumizwa na miamba ya CCM. Hata UDSM atafukuzwa akalime bamia. Huyu bwana anajisahau sana.

Mangula enzi za Mkapa aliwafanyia figisu wakina Boyz to Men siku wameshika madaraka walimnyoosha mpk akarudi kwao akagombania uenyekiti wa mkoa bado akachinjiwa baharini(from umakamu mwenyekiti wa CCM taifa to uenyekiti wa CCM wa mkoa na bado akaukosa) ikabidi mzee arudi kwny shughuli za kulima Nyanya mpk siku wakina JK walipomuhitaji tena kwa kazi maalumu ndipo akarudishwa.

Bashiru awe makini.
 
Heart attack ya Mangula si bure, alishtuka misuli ikashindwa kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo sio dogo. Yaliyo tokea 2015 yanaweza kutokea 2020 kuhusu "kusukumiziwa" kwa hasira.
Mwezi July akijitokeza mtu mwenye jina fahamika ndani ya nchi hii na kuchukua fomu za kutaka kugombea anaweza "kusukumiziwa" kwa hasira kama alivyosukumiziwa Magufuli mwaka 2015.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi haiwezekani raisi kutokuwa mwenyekiti wa chama chake namaanisha mwwnyekiti awe mfano mzee wa msoga alaf meko awe kama alivyo then akimaliza na yeye anakuwa mwenyekiti then anayeendeleza gurudumu anakuwa raisi ..eet kwwnye uzo katiba zenu hamuwezi badilishaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru ananua wapinzani kwa hongo. Ni aibu kwa mhadhiri aliyepata kuheshimika Kama yeye. Ni mwalimu mzuri wa sayansi ya siasa na uongozi wa umma lakini si mzuri katika siasa
 
Sasa si kafukuzwa akigawe chama sasa kama ana ubavu
 
Ila wangemuacha na mwisho wangemkata kama Lowasa mwishoni Ila mm naona kuna vita ccm asilia na wahamiaji na asilia ni wengi na kiongozi wao ni membe naye wamemkata kichwa je wafuasi wake wanasubiri bunge livunje ili wasikose potepote wahamiaji kiongozi wao Rais magufuli,Bashiru,Polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…