CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,056
Reaction score
6,208
Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha!

Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha unakwamishwa kwa kiwango cha kukatisha tamaa.

CCM lisimamieni hilo kwa kuwataka wateule wanaohusika kwalo watimize wajibu wao.
 
Huku walichukuliwa umeme toka mchana wamerudisha leo,Mimi mwanangu hata akizaliwa January, sitamuita January,nitamuita February.
Hovyo Sana haka kajamaa.
 
Nayo Waziri wa utalii anakwenda kinyume na Ilani ya CCM

LENGO LA WATALII MILLION 5 haliwezi kufikiwa ...

Korona imeathiri uchumi, wao TANAPA wanapandisha park fee

Tanzania is most expensive safari destination,
 
Sio washtuke,bali uwezo wakuongoza ulishakwisha,sasa hivi ni bora liende.ndo maana hakuna sekta inayofanya vizuri ata moja.Labda sekta yakukopa ndo ninayoisikia inatrend sasa hivi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom