Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,960
- 104,985
Wapinzani wakianza tu na ccm ikaona inazidiwa watazuia tena. Fahamu hiyo Sheria bado ipo, lakini inafumbiwa macho maana wao ndio wanaivunja bila bugudha.Naona sasa siasa wamezirudisha maana juzi pia uvccm chuo cha kairuki walikua na mkutano