CCM pawaka moto Dodoma

Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi? naona kila wakibana nyeti zinatoka nje

next time ntawashauri wakafanyie kikao mikese huko

Haitasaidia hata wangefanyia chini ya ardhi tutajua tu....
 
Wana JF mbona mnadanganyika kirahisi hivyo? Huyo mtu kama yuko kwenye kikao hawezi kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe JF mpaka watoke. Hawaruhusiwi kuwa na simu humo.

Pia suala la tume ya Mwinyi inasemekana lilijadiliwa jana.

Kuna watu wako hapa kudanganya JF.
..... ni kweli unachosema au labda memba huyu amekuwa na safari nyingi za kwenda maliwatoni na kutuhabarisha....
 
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,

- Pia ndani yao kulikuwa na kikundi kimoja kilichokuwa kinataka kuisukuma ishu ya Richimond kupelekea kwenye vote of no confidence kwa Waziri Mkuu na Rais, ambapo wangemlazimisha Rais kuvunja bunge sasa na kuamuru uchaguzi mpya, kunusuru hilo ndio hasa sababu ya makubaliano ya amani kati ya mafisadi na wabunge wengine, kwa kifupi maamuzi ya kueplekea hiki kikao yalikuwa yameshaamuliwa kwenye vikao vya siri kabla ya hiki kikao.

- Kwa kifupi ni kwamba kikao hiki hakikuwa na lolote la maana kwa masilahi ya taifa letu, kilikuwa ni kikao cha kulindana ili kushinda uchaguzi, was the number one priority.

Respect.

FMEs!

Heshima kwako FMEs,

Tangu mwanzo nilisema siamini kile nilichokisoma,haiwezekani hata kidogo CCM ya Muungwana ikawa serious kwenye masuala ya kiataifa sana sana wanafikiria uchaguzi mkuu hawana habari na maisha ya mtanzania wa kawaida.
 
Bila ccm imara Kuna TANZANIA imara
Hapa tulipofika, ili Taifa liendelee kuwa imara basi CCM lazima ikubali kuwa weak. Ikiendelea hivi ilivyo hatutakuwa na Taifa imara.Litakuwa ni Taifa la scandals, watu wasio na elimu na wajinga, watu wagonjwa wasio na tumaini la kupata msaada wa kitabibu wa magonjwa yao, na kubwa kabisa la yote, ni kuanza kujenga Taifa la washirikina ambao wanaamini kapiga kupiga ramli na uganga ili mambo yaweze kwenda.
 
- Mkuu with all due respect, ain't we there yet?

Respect.

FMEs!
 
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,

- Pia ndani yao kulikuwa na kikundi kimoja kilichokuwa kinataka kuisukuma ishu ya Richimond kupelekea kwenye vote of no confidence kwa Waziri Mkuu na Rais, ambapo wangemlazimisha Rais kuvunja bunge sasa na kuamuru uchaguzi mpya, kunusuru hilo ndio hasa sababu ya makubaliano ya amani kati ya mafisadi na wabunge wengine, kwa kifupi maamuzi ya kueplekea hiki kikao yalikuwa yameshaamuliwa kwenye vikao vya siri kabla ya hiki kikao.

- Kwa kifupi ni kwamba kikao hiki hakikuwa na lolote la maana kwa masilahi ya taifa letu, kilikuwa ni kikao cha kulindana ili kushinda uchaguzi, was the number one priority.

Respect.

FMEs!

hili la kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi liliongelewa jana. na waliokuwa wanalisukuma ni hawa ant- ufisadi , jna walishambilia jukwaa sana na mameno makali na mazito lakni mwisho mkulu alisema kwa kifupi kuwa uchaguzi ni mwaka huu mwez octoba,
 
Yaani kwenye hicho kikao hoja ya msingi ni kuhusu Lowassa? mnataka tuaamini kuwa CCM imechafuliwa na Lowassa? Before Richmond CCM ilikuwa safi? I dont think Lowassa ni hoja itakuwa hamtendei haki....the whole system is broken, inatakiwa kusukwa upya....Kuna kashifa za Rada, IPTL, ndege ya Rais, TRC/TRL, ATCL, Kiwira, SUKITA, Buhemba, Williamson, Songo songo, .name it...hizi hazichafui ila Lowassa...

Ndugu yangu usifikiri Lowassa ni mtu mmoja unapotaja EL ni system mtandao mkubwa na hakuanza leo kama unavyotaka kusema kaanza kujijenga zamani enzi za Nyerere na Nyerere alikuwa anamjua vizuri ndiyo maana akamzuia kugombea urais yote hayo unayosema sijui IPTL TRL SUKITA ATCL Kiwira you name it mkono wa EL upo
 
Duh,mkuu Field Marshall Es uko wapi? maanake unamwaga dataz mkuu wangu.Hebu rekebisha comrade!

- Mkuu wangu ni yale yale tu tunaendelea kupigwa bao tu! ndio maana ninataka nitafute mahali pa kuingilia October maana inachosha sasa tuingie wenyewe tu huko ndani!

Respect.

FMEs!
 
Waw, naona circus imejaa hadhira kutazama machezo. Fanani wapo jikoni kuipua maigizo mapya
 
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,
FMEs!

Sasa hapo penye nyekundu, ndio kusema kuwa kila mmoja abakie kwenye jimbo lake, hadi wakutane tena bungeni sio?
1. Je, watakuwa wamepata ufumbuzi wa matatizo yao na Watanzania au watakuwa wameahirisha tu?
2. Je, hii sio kuwanyima nafasi watanzania kushiriki uongozi wa nchi yao kwa kisingizio cha mtanao fulani? mfano ukienda kugombea Monduli- Lowasa atasema umetumwa na Sitta, na Ukienda Kyela- basi umetumwa na Lowasa
3. Je, hii si kupoozana tu, halafu wakati wa uchaguzi mwenye nguvu ndiye anaeliimbisha kwani wakati huo hakuna tena nafasi ya vikao?

Ni ukweli usipingika sasa hili dude limekuwa kubwa sana kulihimili, na ili taifa kupata manufaa inabidi sasa livunjike, manake inakuwa vigumu kuacha kujadili maslahi ya Taifa, tunajadili maslahi ya watu ndani ya mitandao yao. Tena kibaya na walafi na wanaohujumu uchumi wa nchi na kuendelea kuwafanya watoto na watoto wa watoto wetu kuwa na umaskini endelevuu.
 
- Mkuu wangu ni yale yale tu tunaendelea kupigwa bao tu! ndio maana ninataka nitafute mahali pa kuingilia October maana inachosha sasa tuingie wenyewe tu huko ndani!

Respect.

FMEs!
.

Heshima mbele Mkuu FMES.
Safi sana mkuu wangu kama utaamua kufanya hivyo.Hicho ndicho tunachokihitaji vijana, kuwa sasa tumechoka na ngoja hiyo ngoma tukaicheze wenyewe.

Safi sana mkuu.
 
Ndugu yangu usifikiri Lowassa ni mtu mmoja unapotaja EL ni system mtandao mkubwa na hakuanza leo kama unavyotaka kusema kaanza kujijenga zamani enzi za Nyerere na Nyerere alikuwa anamjua vizuri ndiyo maana akamzuia kugombea urais yote hayo unayosema sijui IPTL TRL SUKITA ATCL Kiwira you name it mkono wa EL upo

Luteni upo sahihi kabisa

EL+ RA = CCM MTANDAO.

Kifupi hii system ndiyo iliyofanikisha uchaguzi wa CCM 2005, sasa unaposema CCM ilishinda kwa kishindo lazima utakuwa umetaja CCM mtandao, then agalia fomulla hapo juu.
Kwa hiyo kipi kitatokea if you remove any of those entities? - CCM will collapse!
 
Cha kujiuliza ni kitu gani ambacho Lowasa amefanya na ambacho wao hawajafanya? Lowasa hayupo serikalini na ufisadi unaendelea, inawezekanaje suluhisho la ufisadi liwe ni kumtosa Lowasa ndani ya CCM na sio kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti rushwa na kuadhibu wala rushwa wakati wote? Watu 'tukuage' basi nasi ahaa!!
 
Hivi huyu jamaa aliyetuma huu ujumbe, ametuma kwa kutumia simu au LAPUTOP?

Jina lake hasa ni nani na alituma akiwa wapi?

Next Level, mzee wa cristalball, hebu unganisha dots utupe wasifu wa mtuma ujumbe maana nasikia kwa kuunga dots na kufahamu huyu ni nani, wewe ni namba moja........
 
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,

- Pia ndani yao kulikuwa na kikundi kimoja kilichokuwa kinataka kuisukuma ishu ya Richimond kupelekea kwenye vote of no confidence kwa Waziri Mkuu na Rais, ambapo wangemlazimisha Rais kuvunja bunge sasa na kuamuru uchaguzi mpya, kunusuru hilo ndio hasa sababu ya makubaliano ya amani kati ya mafisadi na wabunge wengine, kwa kifupi maamuzi ya kueplekea hiki kikao yalikuwa yameshaamuliwa kwenye vikao vya siri kabla ya hiki kikao.

- Kwa kifupi ni kwamba kikao hiki hakikuwa na lolote la maana kwa masilahi ya taifa letu, kilikuwa ni kikao cha kulindana ili kushinda uchaguzi, was the number one priority.

Respect.

FMEs!

Well Said .......!

BWT: Now relevance ya ule waraka wa wapiganaji wa ufisadi ipo wapi sasa? I expected ule unabii kuanza kutimia kny kikao hiki angalau?
 
- Mkuu wangu ni yale yale tu tunaendelea kupigwa bao tu! ndio maana ninataka nitafute mahali pa kuingilia October maana inachosha sasa tuingie wenyewe tu huko ndani!

Respect.

FMEs!

Duh,so sad.

Nwei,mkuu tunaweza kuwa pamoja ktk mapambano mule mjengoni if God wish!
 
Cha kujiuliza ni kitu gani ambacho Lowasa amefanya na ambacho wao hawajafanya? Lowasa hayupo serikalini na ufisadi unaendelea, inawezekanaje suluhisho la ufisadi liwe ni kumtosa Lowasa ndani ya CCM na sio kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti rushwa na kuadhibu wala rushwa wakati wote? Watu 'tukuage' basi nasi ahaa!!

Mkuu Mkumbo,

Hiyo ndiyo wanasema "kila mtu anataka kwenda mbinguni lakini hakuna anayetaka kufa". Tunajitahidi siku zote kuziba ufa badala ya kujiuliza nini kimesababisha ufa utokee. Hapa ndiyo wasiwasi wangu wa hawa wapiganaji. Kama wangelilia kuweka mifumo imara ya kuthibiti ufisadi mapema, basi hata Lowasa angerudi kuwa PM, hakuna kitu kingeharibika kwani mapema tu FBI wa Tanzania wanamdaka na kumuweka mahala anapostahili kama Kibaka.
 
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.

Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa

Mbwembwe tu...............!
 
Wakitoka kwenye kikao watapiga picha ya pamoja huku wanatabasamu na kusema mambo yako tambarale kumbe moyoni kila mtu na lwake,huo ndo unafiki wa wanasiasa,endeleeni tu kujipaka mitope hadi kwenye kope mpaka mshindwe kuona ndio mtajua ala kumbe mficha maradhi kifo kinamsubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom