CCM ni ile ileee ooh..ni ile ileeee....!!!

CCM ni ile ileee ooh..ni ile ileeee....!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1449991665451.jpg
 
Daah huyu bibi kama mie kafumaniwa usiku na chupi mkononi...... sasa hapo CCM ndo wamemsitiri au maana bendera ikidondoka hapo ni shanga tuu.....
Halafu ile namba pale ni rahisi sana kumfahamu huyu bibi.... 974 CNZ. Fasta TRA
Au alikuwa anafanya maombi ya mkesha achaguliwe kuwa waziri wa fedha au maliasiri. ..........
 
Daah huyu bibi kama mie kafumaniwa usiku na chupi mkononi...... sasa hapo CCM ndo wamemsitiri au maana bendera ikidondoka hapo ni shanga tuu.....
Halafu ile namba pale ni rahisi sana kumfahamu huyu bibi.... 974 CNZ. Fasta TRA

Hahahahahhhhhhhaaaaa.... Simo
BTW alikuwa anawanga huyo
 
pia umesahu lile bandiko lako la "member only"
maanaake wengine tumeingia humu bila kudhamilia ukizingatia tumetoka church!

Aaah hahaha huyu hakidhi vigezo...huyu ni wale wa kupuliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom