Hahahahaaaaaa uuuuwii,mbavu zangu mie,kumbe zile buku kumi kumi zishaisha wanaenda zao kwao hawajui hata agenda za mkutano wenyewe,hongera sana mkuu sosoliso kwa taarifa nzuri,ee M/Mungu wachape kiboko kimoja hawa wauaji masisiem mpaka yajute kucheza na ummaHa ha ha.. Nape hajamaliza lakini akina dada wanaanza kukimbilia kwenye mabasi.. Wanawahi nafaci..
Anaongea naibu meya wa kinondoni.. Anadai waliteleza wakatoa majimbo mawili ya kinondoni.. Wanapata sana sasa.. Anawaambia temeke wacifanye makosa..
ccm wanafanya mkutano hapa temeke mwisho.. Uwanja ule ule ambao cdm walifanya mkutano last week..
Msemaji mmoja anadai chadema wameshindwa kufanya mkutano ubungo au kawe kwa kuwa wangepigwa mawe.. Kisa hakuna walichokifanya majimbo ya huko..
Mgeni wa heshima ni nape.. Naona kuna waziri maghembe hapa.. Na wabunge wa ccm wa mkoa wa dar...
Anakabidhi magwanda Juliana kwa Nape...
Chadema ni chama cha kiharakati.. Katibu mkuu amekigeuza chama kama saccos.. Ndo maana anajikopesha halafu anatudanganya milion 20 wakati alijikopesha milion 140.
Chadema ni chama cha mungu mtu.. Kamati kuu ina wajumbe 14.. Mwenyekiti anateua nusu.. Mnyika anadanganya amemaliza form six tu.. Hajaenda chuo kikuu.. Dr Slaa ni fisadi.. Amefisadi mradi wa karatu...
Dah! Umenichekesha sana kamanda..Sasa CCM nao kama si kupoteza muda ni nini? Yaani wameleta watu wao wenyewe halafu wanaanza kuwahutubia? Hivi unataka kuboresha au kubalisha tabia za watu katika kijiji, unachukua watoto wako nyumbani kwako kwenda nao uwanjani na kuanza kuwahutubia halafu unasema ulifanya mkutano na wanakijiji? Kweli CCM hamnazo! Mnajitekenya na kucheka wenyewe?
Labda wawatumie jamaa wenye vitu vyenye ncha kali.......watoto wa mzee mwema si ndio zaooo ......Msemaji mmoja anadai chadema wameshindwa kufanya mkutano ubungo au kawe kwa kuwa wangepigwa mawe....
....
ndio upuuzi wa ccm....kama jana lile kubwa jinga ndugai...badala ya kuaticky kwenye motion yeye cdm ndio wamekaa mdomoni...wakitaja cdm wanatekenyeka makalioni mwao...Mkutano ni wa ccm lakini chadema inatajwa.. 10 kwa 1..
Hao huwa wanajiropokea tu, can you imagine alisha kubaliana na kashilila bunge lisirushwe live sababu eti hasubuhi watu wanakuwa kazini na jioni wanakuwa wamepumzika hivyo live transmition haiana watazamaji! Muulize msimamo wake ni upi sasa hivi.Nnape, unasahau kuwa Mwenyekiti alisema kuwa Chadema ni chama cha msimu, sasa na wewe unaanza kurudia yale yale ya kwake ........
Sasa Nape anaposema Chadema ni ya Kaskazini akienda Arusha na Moshi atawambiaje?Mwampamba kwanini unaeneza sumu ya ukabila?haujui kumbukumbu zitakuanika?kama umeondoka Chadema...sema tu ni kwa sababu ya sera mbovu zao kama ni kweli,na upo CCM sbb umeridhika na sera zao!haya ya udini na ukabila yaacheni jamani