Mr. Masasi
Member
- May 12, 2011
- 53
- 4
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane naye kapewa barua ya uhamisho kwenda kusikojulikana kwa kosa la kuidhinisha barua ya ndugu Joseph Kashindye kwenda kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ili hali anajua ataleta upinzani mkubwa kwa CCM.
Leo hii RPC wa mkoa wa Tabora naye kahamishia ofisi yake wilaya ya igunga kwenye lodge moja inayoitwa sophia lodge.
Sasa je tujiulize huko tunakokwenda kuna usalama kweli? Kiukweli mimi ni mkereketwa wa CCM lakini hili jimbo tunalipoteza kwa hali iliyopo sasa, mana kila kona cdm. Tusipokuwa makini damu ya watanzania wenzetu itamwagika mana FFU toka Tarime nasikia ndo watakaokuwepo kuhakikisha amani inakuwepo.
Nawasilisha