CCM na mbinu zilizopitwa na wakati za matumizi ya dola kuchukua jimbo la Igunga!

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane naye kapewa barua ya uhamisho kwenda kusikojulikana kwa kosa la kuidhinisha barua ya ndugu Joseph Kashindye kwenda kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ili hali anajua ataleta upinzani mkubwa kwa CCM.

Leo hii RPC wa mkoa wa Tabora naye kahamishia ofisi yake wilaya ya igunga kwenye lodge moja inayoitwa sophia lodge.

Sasa je tujiulize huko tunakokwenda kuna usalama kweli? Kiukweli mimi ni mkereketwa wa CCM lakini hili jimbo tunalipoteza kwa hali iliyopo sasa, mana kila kona cdm. Tusipokuwa makini damu ya watanzania wenzetu itamwagika mana FFU toka Tarime nasikia ndo watakaokuwepo kuhakikisha amani inakuwepo.

Nawasilisha
 
Jana nilikuwa Igunga..kwa makusudi kabsa nilifikia The Planet Hotel...a stone-throw distance to Chadema District office...hal ya vitisho Igunga n kubwa sana,FFU wapya toka Tabora mjin wamemwagwa kwa uwing wa ajabu,mikakati n ming kuhakikisha CCM inashnda kwa hal yoyote...na hzo habar ya kufukuzwa hawa watu ndo Talk of the district...n bahati mbya Chadema bado wapo usingzn
 
Yawezekana ndio waliyoona njia ya kujisafisha na maneno ya aliyejivua gmaba hapo Iginga kwamba anaachana na siasa Uchwara. Kwa hiyo njia nzuri ni siasa mabavu. Halafu inasikitisha sana, kuona haya wanayafanya pale wanapoona wana upinzani mkali. Wawaachie wananchi wenyewe.
 
Natabiri kitu kibaya kitatokea igunga na selikali itakuwa ndo msababishaji.
 
Mkae mkijua kuwa kama mtaleta ile tabia yenu ya fujo basi lazima mle shaba.
 
Hali ya Si Si Em haina tofauti Gadaffi, anadai ataidhibiti tripoli kwa majeshi ya kikabila wakati jeshi lake aliloligharimikia ktk mafunzo limesarimu amri.

Peoples............Power
 
Mkae mkijua kuwa kama mtaleta ile tabia yenu ya fujo basi lazima mle shaba.
Kula shaba ndio nini?????? Umetumwa na Nape kuleta upupu wako hapa??? Kumbuka Waasi wa libya wapo Tripoli huku jeshi pamoja na shaba zao zkiwa zimepta kutu..igunga yetu cdm hakuna kulala, hatuogopi vitisho hapa, ffu watakuwa wadogo kama piritoni
 
CCM kwishine! Hizo ni dalili la mbuyu kudondoka Waache wawahamishe mpaka katibu kata, watendaji nk Kwa mwendo huu hadi uchaguzi hata machinga na mama lishe watahamishwa. Mwaka wa kuanguka nyani miti yote huteleza. Nguvu ya wananchi sasa ndio inaongea na hizi ni rasharasha tu mvua zenyewe bado.
 
Kama mungiki wapo Igunga huo pia ni udhaifu wa serikali ya ccm,iweje we mlevi wa komoni uwajuwe,na vyombo vya intelejensia wasiwaone.Endelea kuongeza kura za cdm.
 
Ndugu msiwe na hofu,mbowe kasema bunge likisha tu makamanda wote igunga,subirini tuone.
 
Kwa nyie Magamba,
Kingmaker wenu RA amekwisha watema amewaacha na siasa uchwara zenu.
Subiri muone hapo Igunga, mlilikoroga wenyewe kwa kumwacha Nape ateme upupu wa kuvua gamba, sasa mtalinywa bichi!
 
CCM Kwishney! Wameshindwa kwa Lowasa na Chenge wanaokula na kulala nao kila siku ndo wataweza kwa Wasomi CDM! Kwanza waachieni waendelee kujimaliza wenyewe kwa wenyewe, kama vile Mkweree kumgeuka Pinda na madudu mengine mengi kama ya akina Jairo sisi CDM tunasonga mbele tu.
 
Mikakati mizuri na sera nzuri ndiyo itakayoleta ushindi kwa chama!ccm leo hi wataenda kunadi sera zipi pale Igunga!Rostam kaachia ngazi kwa ajili ya ufisadi,ndani ya chama wanavutana mashati kwa ajili ya chama kupoteza mvuto na ufisadi,bugen kwenyewe kupiga makofi na kuunga mikono hoja bila kuangalia maisha ya wapiga kura!hivi ccm mnaenda kufanya nini hapo?oneni aibu basi!!maana tayari mmeshashindwa.
 
kama kweli ndivo ilivo,, ccm wanaelekea kubaya! naamini wananchi wa Igunga wanayaona haya na hivo kuzidisha uwezo wa kuitilia mashaka chama ya kijani,, polisi kutumika kutisha watu is another scandal kwa Mwema ikiwa ataruhusu hili katika uchaguzi mdogo jimboni humo
 
hiyo ndiyo kazi wanayoiweza usalama wa taifa/jeshi la polisi.....kuidhibiti chadema tu wakati twiga warefu kabisa wanaibiwa mbele ya macho yao!
 
Chama Cha Demokrasia ya Maandamano kweli mufilisi. KELELE NYINGI NA UZUSHI, HII NI DALILI TOSHA KUWA MMESHINDWA KABLA HATA YA KUANZA UCHAGUZI NDO MAANA LEO MARA OR HATURUHUSU KURA KUIBIWA, MARA OR VITISHO, MARA OR SERIKALI INATUMIWA KUIBEBA CCM, NYAMBAFU ZENU MAGWANDA WOTEEEEE..... KELELE ZA NINI SASA SI MMETAKA WENYEWE???.....MTOTO ACHA KUPIGA MAYOE ACHA WATUNWAONE WENYEWE,,!!!!!!MBONA NYIE MMELETA MUNGIKI KUTOKA KENYA KUPITIA TARIME NA WANASIMAMIWA NA MWIKWABE SISI HATUSEMI???? BAHATI NZURI TUSHAWAJUA WOTE MUNGIKI NA TUTAKAMATA WOTE KABLA HAWAJAFIKA MBALI, WAKATI TUKISHEREHEKEA USHINDI WAO WATAKUWA WASHAOLEWA GEREZANI MAANA NAONA MMEAMUA KUJA KUWAOZA KWA WAFUNGWA SUGU UKIZINGATIA WATAKUA KAMA MABIKIRA MLE NDANI....... OOOH MANYAPARA WANAWASUBIRI KWA HAMU KULE NDANI....
Ina maana CCM nzima hakuna mwenye akili timamu aje kujenga hoja hapa JF?
 
Watetezi wa kikwete hao...! kwa hali hii utategemea kikwete atakuwa na akili gani?
 
Chama Cha Demokrasia ya Maandamano kweli mufilisi. KELELE NYINGI NA UZUSHI, HII NI DALILI TOSHA KUWA MMESHINDWA KABLA HATA YA KUANZA UCHAGUZI NDO MAANA LEO MARA OR HATURUHUSU KURA KUIBIWA, MARA OR VITISHO, MARA OR SERIKALI INATUMIWA KUIBEBA CCM, NYAMBAFU ZENU MAGWANDA WOTEEEEE..... KELELE ZA NINI SASA SI MMETAKA WENYEWE???.....MTOTO ACHA KUPIGA MAYOE ACHA WATUNWAONE WENYEWE,,!!!!!!MBONA NYIE MMELETA MUNGIKI KUTOKA KENYA KUPITIA TARIME NA WANASIMAMIWA NA MWIKWABE SISI HATUSEMI???? BAHATI NZURI TUSHAWAJUA WOTE MUNGIKI NA TUTAKAMATA WOTE KABLA HAWAJAFIKA MBALI, WAKATI TUKISHEREHEKEA USHINDI WAO WATAKUWA WASHAOLEWA GEREZANI MAANA NAONA MMEAMUA KUJA KUWAOZA KWA WAFUNGWA SUGU UKIZINGATIA WATAKUA KAMA MABIKIRA MLE NDANI....... OOOH MANYAPARA WANAWASUBIRI KWA HAMU KULE NDANI....
<br />
<br />

BIKIRA yako na wewe uliipotezea kule ndani?
 
uliyefilisika ni wewe unayetoa kauli zisizo na nyuma wala mbele, uliyeanza kushindwa ni wewe unafukuza wakurugezi wa mji na wakuu wa wilaya ili upate kuweke vibaraka wako ushinde kiurahisi lakini mbinu zako zimeshindwa kwa maana tumeshaanza kuzigundua kabla na zitashindwa na ushindi ni kwa chadema. kuhusu maswala ya mungiki hakuna mtu mwenye muda wa kujibu matapishi yako ya kangara au komoni uliyokunywa jana.

Wewe huna tofauti na Beatrice Shelukindo kijinsian na mawazo ambae amelidanganya bunge, na sasa msalaba unamuangukia !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom