Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 292
Posa niliyotuma nije kukuowa uwe mama wa familia yangu imeisha kubaliwa ?
Mkuu kinachotakiwa hoja magamba mmepoteza mvuto kwa wananchi!
Posa niliyotuma nije kukuowa uwe mama wa familia yangu imeisha kubaliwa ?
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane naye kapewa barua ya uhamisho kwenda kusikojulikana kwa kosa la kuidhinisha barua ya ndugu Joseph Kashindye kwenda kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ili hali anajua ataleta upinzani mkubwa kwa CCM.
Leo hii RPC wa mkoa wa Tabora naye kahamishia ofisi yake wilaya ya igunga kwenye lodge moja inayoitwa sophia lodge.
Sasa je tujiulize huko tunakokwenda kuna usalama kweli? Kiukweli mimi ni mkereketwa wa CCM lakini hili jimbo tunalipoteza kwa hali iliyopo sasa, mana kila kona cdm. Tusipokuwa makini damu ya watanzania wenzetu itamwagika mana FFU toka Tarime nasikia ndo watakaokuwepo kuhakikisha amani inakuwepo.
Nawasilisha
Mkae mkijua kuwa kama mtaleta ile tabia yenu ya fujo basi lazima mle shaba.

Omr! We Mtanzania kweli? Hapo unaona na unaamini kabisa kuwa Wapinzani na hasa CDM ni watu wa fujo siku zote. Naomba tuwe wakweli kwa haya yanayoelezwa kufanya huko Igunga ni haki au Serikali ndiyo inaandaa mazingira ya kuchochea fujo?????????????????
My appeal kwa viongozi walioko madaraki ni kuwaomba radhi kwamba watuachie wananchi tuamue kwa ridhaa zetu kwenye chaguzi za kisiasa la sivyo tunelekea kusiko takiwa - kisa tamaa ya kutawala milele. Eeee MUNGU naomba utusaidie sisi Wajawako Watanzania.
Nafsi yako umeisimamishia upande gani kufikiria watakao pigwa shaba wanastahili kwa sababu yeyote uijuayo?Mkae mkijua kuwa kama mtaleta ile tabia yenu ya fujo basi lazima mle shaba.