comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,226
- 5,947
Kumekuwepo na jitihada za kibaguzi za kuwanyapaa watu wanaoitwa matajiri ndani ya CCM. Hulka hii ni hatari kwa sababu ni ya kibaguzi na ubaguzi unasifa ya kuwalaani wabaguzi.
Aidha kuwanyanyapaa matajiri kwa sababu ya utajiri wao unaepuka mchango wao katika kuanzisha na kujenga TANU ambayo ndiyo CCM kwa sasa.
Hata juhudi za kujenga ujamaa duniani kupitia machapisho ya wanazuoni kama Karl Max uzingwezekana bila mchnago wa matajiri.
Karl Max alipewa na Friedrich Engels fedha za kuchapisha kitabu chake cha The Communist Manifesto kitabu ambacho kimesaidiwa kutengeza wajamaa wa leo.
Friedrich Engels (28 November 1820 – 5 August 1895) was a German philosopher, historian, communist, social scientist, sociologist, journalist and businessman. His father was an owner of large textile factories in Salford, England and in Barmen, Prussia
Hata kama siyo mchango kwa nini wasemwe na watendewe tofauti kwa sababu tu ya utajiri wao?