• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

CCM na matajiri: Dhambi ya unyanyapaa haitatuacha salama

comte

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,433
Points
2,000
comte

comte

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,433 2,000
Kumekuwepo na jitihada za kibaguzi za kuwanyapaa watu wanaoitwa matajiri ndani ya CCM. Hulka hii ni hatari kwa sababu ni ya kibaguzi na ubaguzi unasifa ya kuwalaani wabaguzi.

Aidha kuwanyanyapaa matajiri kwa sababu ya utajiri wao unaepuka mchango wao katika kuanzisha na kujenga TANU ambayo ndiyo CCM kwa sasa.

Hata juhudi za kujenga ujamaa duniani kupitia machapisho ya wanazuoni kama Karl Max uzingwezekana bila mchnago wa matajiri.

Karl Max alipewa na Friedrich Engels fedha za kuchapisha kitabu chake cha The Communist Manifesto kitabu ambacho kimesaidiwa kutengeza wajamaa wa leo.

Friedrich Engels (28 November 1820 – 5 August 1895) was a German philosopher, historian, communist, social scientist, sociologist, journalist and businessman. His father was an owner of large textile factories in Salford, England and in Barmen, Prussia

Hata kama siyo mchango kwa nini wasemwe na watendewe tofauti kwa sababu tu ya utajiri wao?
 
B

Bana likasi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2020
Messages
2,819
Points
2,000
B

Bana likasi

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2020
2,819 2,000
awamu hii ndo yenye chuki na matajiri sababu ni waathirika wa fikra za umasikini yaani ujamaa,chuki za matajiri yaliyoonekana Hai NI MUENDELEZEO WA CHUKI KWA MATAJIRI
 
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Messages
203
Points
250
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2019
203 250
Kaka kuwa mwelewa. anachokataa magufuri ni matajiri kutumia utajiri wao kwenye mchakato wa uchaguzi. hilo tu. si kwamba anawanyanyapaa.
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,777
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,777 2,000
Kaka kuwa mwelewa. anachokataa magufuri ni matajiri kutumia utajiri wao kwenye mchakato wa uchaguzi. hilo tu. si kwamba anawanyanyapaa.
Ccm ya Nyerere ilikuwa ya Wakulima na Wafanyakazi,lakini baada ya hapo CCM imekuwa ya Wafanyabiashara watupu ndio maana wamo kina Rostam Aziz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THE BREED

THE BREED

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Messages
992
Points
1,000
THE BREED

THE BREED

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2019
992 1,000
Ndio maana ndugu zetu waliokuwa na vipato ambao walituweka mjini wanatangulizwa kimya kimya kwa baba mwenyezi!!RIP :-Ali mufruk,ruge,mengi,super sami,Huseni macheni na watakao wafuata badae!!!!
 
comte

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,433
Points
2,000
comte

comte

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,433 2,000
Kaka kuwa mwelewa. anachokataa magufuri ni matajiri kutumia utajiri wao kwenye mchakato wa uchaguzi. hilo tu. si kwamba anawanyanyapaa.
Lwamadovela, mie sijamtaja JPM kokote usiniwekeee maneno mdomoni ukanizulia la kuzua. Hulka hii imeanza hata kabla JPM hajawa pale alipo.
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,777
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,777 2,000
"mpimamstaafu, kati ya walioanzisha TANU nani alikuwa mkulima na mfanyakazi ukiacha Mwalimu?
Tunazungumzia TANU au CCM?Kama ni CCM utake usitake Nyerere alisema ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi angalia nembo iliopo kwenye bendera zao,sasa hivi Robo tatu ya Wabunge wa ccm ni Wafanyabiashara wakulima hawana ubabu wa kupata hela za kuhonga wapiga kura,na ndii maana Mwenyekiti amewananga Matajiri.
2283425_IMG-20191110-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
comte

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,433
Points
2,000
comte

comte

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,433 2,000
Tunazungumzia TANU au CCM?Kama ni CCM utake usitake Nyerere alisema ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi angalia nembo iliopo kwenye bendera zao,sasa hivi Robo tatu ya Wabunge wa ccm ni Wafanyabiashara wakulima hawana ubabu wa kupata hela za kuhonga wapiga kura,na ndii maana Mwenyekiti amewananga Matajiri. View attachment 1334063

Sent using Jamii Forums mobile app
mpimamstaafu, unaitengaje CCM na TANU na TANU na wale walioianzisha?
 
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Messages
203
Points
250
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2019
203 250
Kw

Kwahiyo anawapangia jinsi ya kutumia hela yao?
hapana. hawapangii.anachotaka magufuli hata yule asiye na hela apewe nafasi sawa na yule mwenye pesa. Mzee kasema gharama zote za kampeni ni za chama. Huko nyuma haikuwa hivo.
 
comte

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,433
Points
2,000
comte

comte

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,433 2,000
hapana. hawapangii.anachotaka magufuli hata yule asiye na hela apewe nafasi sawa na yule mwenye pesa. Mzee kasema gharama zote za kampeni ni za chama. Huko nyuma haikuwa hivo.
Lwamadovela, Tanzania itakuwa sawa na peponi
 
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Messages
203
Points
250
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2019
203 250
Barikiwa sana. Nadhani mtoa mada ameelewa. Na temu hii wabunge wengi tutakuwa wafanyakazi na wakulima.
 
comte

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,433
Points
2,000
comte

comte

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,433 2,000
Barikiwa sana. Nadhani mtoa mada ameelewa. Na temu hii wabunge wengi tutakuwa wafanyakazi na wakulima.
Lwamadovela, wale tu mlio kula rushwa kwa kutumia nafasi zenu katika utumishi wa umma.
 
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Messages
203
Points
250
L

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2019
203 250
Lwamadovela, Tanzania itakuwa sawa na peponi
ngoja tusubiri muda useme mkuu wangu.mfano kwenye chaguzi za CCM. Fomu zilikuwa zinauzwa tena kwa pesa nyingi. Kipindi cha magufuri fomu zilitolewa bure. Mwenyewe nilivuta fomu ya uenyekiti wa mkoa fulani.na mambo yalienda safi. Kwenye kura nikawa wa pili. Na sasa najipanga kugombea ubunge jimbo fulani. Ndo maana nasema tusubiri muda useme.
 
mwananyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
1,873
Points
2,000
mwananyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
1,873 2,000
Hao matajiri baadhi yao ndio wametuharibia nchi,utaki unaacha ,mjadala.wake ni mrefu
Kumekuwepo na jitihada za kibaguzi za kuwanyapaa watu wanaoitwa matajiri ndani ya CCM. Hulka hii ni hatari kwa sababu ni ya kibaguzi na ubaguzi unasifa ya kuwalaani wabaguzi.

Aidha kuwanyanyapaa matajiri kwa sababu ya utajiri wao unaepuka mchango wao katika kuanzisha na kujenga TANU ambayo ndiyo CCM kwa sasa.

Hata juhudi za kujenga ujamaa duniani kupitia machapisho ya wanazuoni kama Karl Max uzingwezekana bila mchnago wa matajiri.

Karl Max alipewa na Friedrich Engels fedha za kuchapisha kitabu chake cha The Communist Manifesto kitabu ambacho kimesaidiwa kutengeza wajamaa wa leo.

Friedrich Engels (28 November 1820 – 5 August 1895) was a German philosopher, historian, communist, social scientist, sociologist, journalist and businessman. His father was an owner of large textile factories in Salford, England and in Barmen, Prussia

Hata kama siyo mchango kwa nini wasemwe na watendewe tofauti kwa sababu tu ya utajiri wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,777
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,777 2,000
Kumbuka CCM haikutoka na TANU pekee ila ni zao la TANU na ASP.TANU na ASP misingi ya kuanzishwa kwake ilikuwa kudai uhuru.na kama ni kudai Uhuru ilimhitaji kila raia.Baada ya TANU na ASP kuungana CCM ikazaliwa na tukaambiwa ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi hatukuambiwa na Matajiri na msingi wake ukabadilika na ukawa wa kuijenga Nchi sio Kudai Uhuru,mie naomba tujadili CCM kwani ndio imesema Matajiri basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,405,217
Members 531,945
Posts 34,481,076
Top