Leo Nape na Kinana wanaitwa waasi ndani ya CCM

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,875
Leo Nape na Kinana wanaitwa waasi ndani ya CCM ,Siku zinaenda kasi kweli aisee ! ,Mbaya zaidi wanatumia neno "Waasi" "Wahaini" unajiuliza hivi hawa wanaotumia haya maneno wanajua maana ya maneno hayo? Au wanatumia tuu !! ,Kutofautiana kimawazo au kupinga na kukosoa jambo katika taasisi au dhidi ya kiongozi haijawahi kuwa uwasi wala uhaini.

Tena wanaitwa waasi na wahaini na mtu ambaye hajawahi hata kuongeza mwanachama hata mmoja ndani ya CCM. Kinana aliyelala nje ili kukuza chama ,aliyezunguka vijijini akilima na kusaidia kujenga nyumba za wanakijiji ili kukuza chama na kurudisha imani ya chama kwa wananchi leo anaitwa Muasi ,duuu ! Poleni sana Kinana , Makamba na Nape.

Ipo hivi ,huo mgogoro unaokuzwa na kuonekana ni uhaini na uwasi wa Kinana ,Nape na Makamba haujawahi kuwa mgogoro ,labda kuwe kuna kitu kinapikwa.

Katika falsafa ya Johann Fichte iliyokujakuendelezwa na George Friedrich Hegel na Karl Max inayoitwa Contradiction/au dialectical methods/Materialism inaangazia mgogoro kama njia ya kuzaliwa mawazo mapya ,au mabadiliko dhidi ya pande mbili zenye msuguano.

Katika Nadharia hii ya mgogoro au contradiction kuna hatua 3 ,zinaitwa "The triad" ya kwanza ni Thesis ,pili ni anthesis tatu ni Synthesis .
1.Thesis ni maelezo , statement ya upande fulani ambayo yanaweza kera au kuudhi upande wa pili (Maelezo ya Musiba dhidi ya Kinana na Makamba ,haya huitwa Thesis au statement au proposition). 2.Anthesis ,ni reaction ya thesis yaani ni mkanusho wa Thesis (Negation of Thesis) ,hapa ni Makamba na Kinana kutoa waraka dhidi ya maelezo na tuhuma za Musiba dhidi yao pia hata audio dhidi ya yanayoendelea,hapa ni Anthesis dhidi ya Thesis .

3.Synthesis ,hii ni hatua ya mwisho kabisa ya kuhakikisha suluhu inapatikana kati ya pande hizi yaani kati ya Thesis na Anthesis na hutoa suluhisho ,(Climax) Mara zote Synthesis ndio huwa inatoa majibu kamili ya maana ya mgogoro na contradiction iliyokuwepo.

Hivyo,tusubiri Synthesis sababu hatua zote mbili zimeonekana ,hivyo mgogoro hauwezi kuisha bila hatua ya mwisho ,hivyo tuvute subra ! Mgogoro kidogo ! tutaelewa tuu maana ya yanayoendelea!
 
Hawa jamaa hata wakiitwa wauaji ni poa tu.
Kwanza waliupoka uchaguzi wa Zanzibar mara nyingi wakijisahau na kijifanya wao wapo salama.

Pili, walisaidia sana sisi kukosa katiba mpya Nape akifungia magazeti.

Tatu. Bao la mkono. Do I need to say more?

Nne, Pembe za ndovu. Muuize Musiba ?

Tano,Bunge live-- nape.

Kiufupi ngoja wazinguliwe ikiwezekana wafunguliwe kesi ya uhaini au uhujumu uchumi.

Ili wanasiasa wengine akili ziwakae sawa wasifikiti kuwa wapo mbinguni kumbe tuko nao hapa hapa.

Sasa ushauri wangu.

Magu kanyagia hapo hapo,
Musiba tibua tibua piga kote kote piga hadi jk.

Ila tu usituzingulie JF yetu, hii ni ya kila mtu hata wewe Musiba baada ya 2020 watakukamata watakupeleka jela na sisi wana JF tutapaza sauti kukutetea.

😂😂😂
 
Magufuli Raisi wangu. Nakuheshimu sana lakin katika hili umepotea njia. Nakuambia umepotea njia.
Wewe ni mwenyekiti wa CCM maliza muda wako kwa heshima na uende zako.
CCM ni zaidi ya ujuavyo. Nakutahadhari sana Mkuuu.
 
Leo Nape na Kinana wanaitwa waasi ndani ya CCM ,Siku zinaenda kasi kweli aisee ! ,Mbaya zaidi wanatumia neno "Waasi" "Wahaini" unajiuliza hivi hawa wanaotumia haya maneno wanajua maana ya maneno hayo? Au wanatumia tuu !! ,Kutofautiana kimawazo au kupinga na kukosoa jambo katika taasisi au dhidi ya kiongozi haijawahi kuwa uwasi wala uhaini.

Tena wanaitwa waasi na wahaini na mtu ambaye hajawahi hata kuongeza mwanachama hata mmoja ndani ya CCM. Kinana aliyelala nje ili kukuza chama ,aliyezunguka vijijini akilima na kusaidia kujenga nyumba za wanakijiji ili kukuza chama na kurudisha imani ya chama kwa wananchi leo anaitwa Muasi ,duuu ! Poleni sana Kinana , Makamba na Nape.

Ipo hivi ,huo mgogoro unaokuzwa na kuonekana ni uhaini na uwasi wa Kinana ,Nape na Makamba haujawahi kuwa mgogoro ,labda kuwe kuna kitu kinapikwa.

Katika falsafa ya Johann Fichte iliyokujakuendelezwa na George Friedrich Hegel na Karl Max inayoitwa Contradiction/au dialectical methods/Materialism inaangazia mgogoro kama njia ya kuzaliwa mawazo mapya ,au mabadiliko dhidi ya pande mbili zenye msuguano.

Katika Nadharia hii ya mgogoro au contradiction kuna hatua 3 ,zinaitwa "The triad" ya kwanza ni Thesis ,pili ni anthesis tatu ni Synthesis .
1.Thesis ni maelezo , statement ya upande fulani ambayo yanaweza kera au kuudhi upande wa pili (Maelezo ya Musiba dhidi ya Kinana na Makamba ,haya huitwa Thesis au statement au proposition). 2.Anthesis ,ni reaction ya thesis yaani ni mkanusho wa Thesis (Negation of Thesis) ,hapa ni Makamba na Kinana kutoa waraka dhidi ya maelezo na tuhuma za Musiba dhidi yao pia hata audio dhidi ya yanayoendelea,hapa ni Anthesis dhidi ya Thesis .

3.Synthesis ,hii ni hatua ya mwisho kabisa ya kuhakikisha suluhu inapatikana kati ya pande hizi yaani kati ya Thesis na Anthesis na hutoa suluhisho ,(Climax) Mara zote Synthesis ndio huwa inatoa majibu kamili ya maana ya mgogoro na contradiction iliyokuwepo.

Hivyo,tusubiri Synthesis sababu hatua zote mbili zimeonekana ,hivyo mgogoro hauwezi kuisha bila hatua ya mwisho ,hivyo tuvute subra ! Mgogoro kidogo ! tutaelewa tuu maana ya yanayoendelea!
Unawatetea au nawe unatoa mawazo yako,kama walivyofanya wengine?
 
Kwan hivi unadhan nape enzi ana kula saham moja na mkuu alikuwa anaona makosa yake?
SI alifunga bao la mkono?
Mzee kinana naye atuambie pembe za ndovu Nani msafirishaj
Acheni musiba atibue atibue atibue ipasavyo akimaliza Nao arudi kwa top wao afu huku nyuma upinzani msilale.
 
Leo Nape na Kinana wanaitwa waasi ndani ya CCM ,Siku zinaenda kasi kweli aisee ! ,Mbaya zaidi wanatumia neno "Waasi" "Wahaini" unajiuliza hivi hawa wanaotumia haya maneno wanajua maana ya maneno hayo? Au wanatumia tuu !! ,Kutofautiana kimawazo au kupinga na kukosoa jambo katika taasisi au dhidi ya kiongozi haijawahi kuwa uwasi wala uhaini.

Tena wanaitwa waasi na wahaini na mtu ambaye hajawahi hata kuongeza mwanachama hata mmoja ndani ya CCM. Kinana aliyelala nje ili kukuza chama ,aliyezunguka vijijini akilima na kusaidia kujenga nyumba za wanakijiji ili kukuza chama na kurudisha imani ya chama kwa wananchi leo anaitwa Muasi ,duuu ! Poleni sana Kinana , Makamba na Nape.

Ipo hivi ,huo mgogoro unaokuzwa na kuonekana ni uhaini na uwasi wa Kinana ,Nape na Makamba haujawahi kuwa mgogoro ,labda kuwe kuna kitu kinapikwa.

Katika falsafa ya Johann Fichte iliyokujakuendelezwa na George Friedrich Hegel na Karl Max inayoitwa Contradiction/au dialectical methods/Materialism inaangazia mgogoro kama njia ya kuzaliwa mawazo mapya ,au mabadiliko dhidi ya pande mbili zenye msuguano.

Katika Nadharia hii ya mgogoro au contradiction kuna hatua 3 ,zinaitwa "The triad" ya kwanza ni Thesis ,pili ni anthesis tatu ni Synthesis .
1.Thesis ni maelezo , statement ya upande fulani ambayo yanaweza kera au kuudhi upande wa pili (Maelezo ya Musiba dhidi ya Kinana na Makamba ,haya huitwa Thesis au statement au proposition). 2.Anthesis ,ni reaction ya thesis yaani ni mkanusho wa Thesis (Negation of Thesis) ,hapa ni Makamba na Kinana kutoa waraka dhidi ya maelezo na tuhuma za Musiba dhidi yao pia hata audio dhidi ya yanayoendelea,hapa ni Anthesis dhidi ya Thesis .

3.Synthesis ,hii ni hatua ya mwisho kabisa ya kuhakikisha suluhu inapatikana kati ya pande hizi yaani kati ya Thesis na Anthesis na hutoa suluhisho ,(Climax) Mara zote Synthesis ndio huwa inatoa majibu kamili ya maana ya mgogoro na contradiction iliyokuwepo.

Hivyo,tusubiri Synthesis sababu hatua zote mbili zimeonekana ,hivyo mgogoro hauwezi kuisha bila hatua ya mwisho ,hivyo tuvute subra ! Mgogoro kidogo ! tutaelewa tuu maana ya yanayoendelea!

Mbona kuanzia paragraph 4 hakukuwa na haja ya kuandikwa? Au ndo kuwa mtalaam zaidi?
 
Nape, Kinana, na Makamba wanatumiwa na team Membe, BWM, JK, Rostam na team matajiri wenye chama chao against sera za Jiwe na wajamaa wenzake aliowachomeka kwenye sekretarieti ya CCM.

Mlengwa mkuu ni katibu mkuu wa CCM. Atatolewa atawekwa mtu anayetosha kwenye hivyo viatu kulinda matajiri wanaomiliki CCM.

Jiwe alifikiri kuwa rais unakuwa top wa kila kitu. Taratibu ameanza kujua kumbe kawekwa tu na hana uwezo wa kufurukuta.

CCM INA WENYEWE
 
Dogo kuwa uyaone, kwani yuda si alikuwa mwanafunzi mpendwa wa yesu mbn baadae alimsaliti? Chadema sijui ACT mkae kimya kabisa issue hizi haziwahusu. Tuachieni wenyewe
 
Hawa jamaa hata wakiitwa wauaji ni poa tu.
Kwanza waliupoka uchaguzi wa Zanzibar mara nyingi wakijisahau na kijifanya wao wapo salama.

Pili, walisaidia sana sisi kukosa katiba mpya Nape akifungia magazeti.

Tatu. Bao la mkono. Do I need to say more?

Nne, Pembe za ndovu. Muuize Musiba ?

Tano,Bunge live-- nape.

Kiufupi ngoja wazinguliwe ikiwezekana wafunguliwe kesi ya uhaini au uhujumu uchumi.

Ili wanasiasa wengine akili ziwakae sawa wasifikiti kuwa wapo mbinguni kumbe tuko nao hapa hapa.

Sasa ushauri wangu.

Magu kanyagia hapo hapo,
Musiba tibua tibua piga kote kote piga hadi jk.

Ila tu usituzingue hapa JF.

😂😂😂
Hahahahaaa Wahunu tu akina Nepi na Kinena, na Marope ,hao woote waovu.
 
Back
Top Bottom