Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,148
Jibu KONKI.Hili swali waulize wale wanaopeleka mabakuli ulaya kuomba misaada, siamini kama wale wanaochangiwa na wanachama na supporters wao wanaweza kuathirika, kwani wameshaonesha wanaweza kuvumilia hali kwa kukataa ruzuku.