CCM na Bunge tumkatae Halima Mdee Mahakamani, Kesi ya Mbowe ya ugaidi ilituacha utupu na ilitufunza

Hili swali waulize wale wanaopeleka mabakuli ulaya kuomba misaada, siamini kama wale wanaochangiwa na wanachama na supporters wao wanaweza kuathirika, kwani wameshaonesha wanaweza kuvumilia hali kwa kukataa ruzuku.
Jibu KONKI.
 
Vile vikao naona kama Mbowe anapigwa danadana tu.

CHADEMA wasipoweza angalau kuweza kufanya mikutano ya hadhara vile vikao vitakuwa bonge la comedy.
Ndio maana naona kuna umuhimu kwa Chadema waangalie uwezekano wa kuweka conditions kwenye hayo mazungumzo, sio kila siku kukutana halafu hakuna linalobadilika.
 
Kuna kitu kinaitwa maridhiano ili kuponya nchi, hasa ukizingatia mchafuzi keshaendazake, waliobaki wametaka muafaka, hakuna haja ya kutunisha misuri. Utakua mjinga ww unliebaki kutunisha misuri kwa nani!
Kwani wale kina Mdee na kundi lake kule bungeni leo wanalindwa na mwendazake?

Update your brain.
 
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Waache waanzishe mchezo wa kurusha mawe wakijua wanaishi kwenye nyumba ya vioo
 
Nadhani hana kinga ya kutoa ushahi bali ana kinga ya kushitakiwa tu kwani hata late Ben Mkapa ameshawahi kwenda mahakamani kutoa ushahidi.
My take : Hizi kinga ni upuuzi sana ndiyo maana wanafanya madudu kwa makusudi wakitegemea hizo kinga za kibazazi.
Ni kweli mwamba.Hizi kinga ni kichako chao kujificha baada ya kufanya uhalifu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Nilimuona rafiki yangu wa siku nyingi Pascal Mayala akijaribu kutafuta njia ya kufunika huu utupu na huku akiwakemea kwa nguvu wanyolewaji kwa kunyolewa vibaya na huku akijua wazi kabisa hayo ni makosa ya kinyozi. Kama hawa watu hawakujifunza kitu chochote kipindi cha kesi ya Mbowe? basi kuna shida mahari. mpaka jaji aje kutoa hukumu tutakuwa tusha adhirika vibaya na HUKUMAT ya jamii ikiwa imeshasomwa.
Kesi za namna hii ndio zinalazimisha kuwa dharirisha majaji wetu bila sababu za msingi.
 
"Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya"
 
Nilimuona rafiki yangu wa siku nyingi Pascal Mayala akijaribu kutafuta njia ya kufunika huu utupu na huku akiwakemea kwa nguvu wanyolewaji kwa kunyolewa vibaya na huku akijua wazi kabisa hayo ni makosa ya kinyozi. Kama hawa watu hawakujifunza kitu chochote kipindi cha kesi ya Mbowe? basi kuna shida mahari. mpaka jaji aje kutoa hukumu tutakuwa tusha adhirika vibaya na HUKUMAT ya jamii ikiwa imeshasomwa.
Kesi za namna hii ndio zinalazimisha kuwa dharirisha majaji wetu bila sababu za msingi.
Hebu tukaanze kusoma upya ya kingai,urio nawenzake.Haya twendeni.
 
Swali la kujiuliza ni kuwa COVID 19 wako bungeni kwa maslahi ya nani? nani aliwaweka? kama wako kwa maslahi ya sisiem ni wazi kuwa kutakuwa na sarakasi nyingi na watakaa hadi uchaguzi mkuu!

Hivi sheria namba ngapi ya bunge inaweza kuwavua ubunge kwa kesi yao iliyopo mezani? anaejua please atupie humu JF
 
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Kwa upande wangu naona wabunge wengi hawana msaada kwa taifa zaidi ya matumbo yao. 80% wanapiga porojo tu bungeni badala ya kuisimamia serikali. Nyinyi CCM(kama ulivyojitambulisha), tumieni akili vizuri uchaguzi ujao ila sio kuiba kura. Kura zikiibiwa yataibuka kama haya yaliopo tena.
 
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi...

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, mtu huyo kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau, sio maridhiano.

Huyu ikibidi apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
Nionavyo mimi Issue ya kina Mdee haiwaumizi vichwa CDM huu ni mtazamo wangu binafsi, kuwashauri CDM waache mikutano na Rais ni kuwainua juu sana akina Mdee na genge lake sio agenda ya CDM. CDM wana agenda kubwa bora zaidi kwa Watanzania kuliko hii ya akina Mdee tafakari.
 
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Aisee sikujua kwamba wapo watu wenye akili huko
Hongera
 
Back
Top Bottom