CCM na Bunge tumkatae Halima Mdee Mahakamani, Kesi ya Mbowe ya ugaidi ilituacha utupu na ilitufunza

Chama cha demokrasia kinachoogopa mahakama
Unafahamu vituo watakavyolipua... Sifahamu

Wewe ni mwanamke au Mwanaume... Sifahamu

Umekuja hapa mahakamani kufanya nini.... Sifahamu

Taarifa za hii kesi ulizisikia kwa nani.... Kwa afande Kingai

Hapa Tunaongea na afande Kingai au na wewe..... Mimi sifahamu

Unafahamu PGO namba... inahitaji unapomkamata mtu ufuate utaratibu kama rula ilivyonyooka... ndio

Soma PGO namba..... uliyosema, Mheshimiwa Jaji mimi ananionea tu

Nasema soma hapa PGO namba...
 
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi.

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau.

Huyu apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
Unafikiri ni nani atakae athirika zaidi ikiwa hayo maridhiano yakivunjwa, je ni SHH na serikali yake au ni kambi ya upinzani??
 
Unafahamu vituo watakavyolipua... Sifahamu

Wewe ni mwanamke au Mwanaume... Sifahamu

Umekuja hapa mahakamani kufanya nini.... Sifahamu

Taarifa za hii kesi ulizisikia kwa nani.... Kwa afande Kingai

Hapa Tunaongea na afande Kingai au na wewe..... Mimi sifahamu

Unafahamu PGO namba... inahitaji unapomkamata mtu ufuate utaratibu kama rula ilivyonyooka... ndio

Soma PGO namba..... uliyosema, Mheshimiwa Jaji mimi ananionea tu

Nasema soma hapa PGO namba...
Kuna watu mna muda wa kupoteza aiseeh, ndo umeandika nini sasa😀
 
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Tatizo Chadema mna roho mbaya sana. Mnataka mkimkataa mtu,basi adhalilike. Tatizo mmesahau kuwa Mungu si Mbowe

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi.

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau.

Huyu apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
Asipokuta naye nani mwenye hasara!?

Nakuhakikishia kwa 100% hao wabunge hawawezi kuendelea kubakia bungeni.
 
Mambo madogo sana yanauza kichwa kwanini?, kamati kuu ya chadema imeshawatema kwa kura za wanakamati kuu,barua iandikwe kwa spika na kumjulisha maamuzi ya KK,Na spika atekeleze kisha awape chadema siku 30,wawe wamepeleka wawakilishi wao halali walioidhinishwa na chama chao,
•Wa mahakamani wabakie na mashauri yao huko mahakamani.
#Simple_case_likes_that.
 
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Hongera sana bandiko zuri, wewe upo smart sana upstairs, nimesoma hii no very critical analysis
 
Naunga Mkono hoja.
 
Umeandika vizuri mkuu.Mama kasema anataka maridhiano ni wakati muafaka kabisa kulimaliza hilo Suala.Hata akina Halima Mdee wanaweza kuomba msamaha na kupewa tena ubunge.kila kitu kwenye siasa kinawezekana
 
Kama kikao cha mama na Mbowe juzijuzi ndio alimuita aliibue hili kina mdee jitathminini maana kutoka kule tu yameibuka haya upyaaa.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom