CCM Mwanza kwisha

Jiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Ha ha safaeu hii magufuli atakimbia nchi walahi ajiandae kisaikolojia tuliyoyaona wakati wa chaguzi za marudio hayatakaa yarudiwe kamwe
 
Ccm inajitahigi sana kuchukua majimbo mengi ,utakumbuka kwamba nguvu ya umma wakati wa jakaya iliisaidia sana chadema kuchukua majimbo sasa ni nguvu ya jiwe .
Jiwe litapasgwa moto nakukalishwa chini kipigo chake kutakuwa cha mvwa koko unadhani yeye hajui uoga umemshika
 
Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapiga kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Magufuli anadekezwa kiboko chake cha kisilencer kakiona nchi imegota kila mradi hauendi nchi imefirisika anga za kidemokrasia kwusha dunia inamuona kaa zimwi hana rafiki hajiamini anatembea nabatalioni harafu unasema hatufurukuti wakati yeye ndio anatembea na gereza
 
Mnyonge nyongeni laki haki yake mpeni.Hao wanaoonekana karibu ni watoto ila watu wazima wanaonekana ktk muelekeo aliotiza Mhe.ambao hamkutaka kuwaonyesha kwasababu zenu binafsi. Is not good at all.
 
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake! Jipangeni 2020 tunasafisha wapinzani wote! Kazi kubwa na Nzuri anayoifanya JPM kila Mtanzania anakiri na kukubali kuwa CCM ndio mpango mzima
Magufuli anazamishwa maxima 2020 wananchi tumeshajuwa si mali kitu hatuwezi mwachia hata nukta moja aendelee kuisambaratisha hii nchi nchi kwanza magufuli tupa kule
 

Wavuvi hawana hamu Na walichofanyiwa wanasubiria kulipa kisasi.Biashara ya Samaki Na dagaa imevurugwa balaa,wengi wameisoma haswaa.
 
Haha dereva kawa kipofu magufuli zero nchi imeshamshindwa lazima ang'oke 2020
 


Kwani nani kakwambia Rais ni Msukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…