Elections 2010 CCM: Mwaliko maalum

Sioni sababu ya kuliondoa ili tangazo hapa, mbona ya Chadema ya napo we kwa hapa na wasiyo wausika hamsemi ya tolewe?
Anachopinga nadhani ni admin kuweka hilo tangazo. Ndio sababu kasema waje wao wenyewe wajisajili na kuweka tangazo wao wenyewekama members hapa kama chadema wafanyavyo
 
swala la ccm kuomba mchango wa pesa ni sawa na majambazi kuomba mchango wa silaha.


tuwachangia hili waendelee kutuongezea umaskini?
 
Nakushukuru tena kwa mwaliko huu, wife wangu ni CCM damu, mimi nitamsindikiza na nitachangia kwa moyo wote ili kulinda amani ya familia na kusocialize.

Mkuu unaenda changia Magaidi? Ni wakati Mzuri wa kumshauri shemeji aendelee kuwa mwana CCM ila akatae wana CCM wasio na tija na maendeleo ya nchi. CCM wamegeuka kuwa hawana uchungu na maendeleo ya nchi zaidi ya matumbo yao! Kipi mwananchi wa kwaida ananufaika na CCM hii ya Mkwere! Wala Rushwa mafisadi wezi na kila kitu kibaya....anza naye pole pole aweke maslahi ya taifa hili mbele
 
Tangazo kama hili lina neutralizes sentiments kuwa JF ni pro- Chadema. Wana Chadema wengi wamo humu kwa majina yao kwa vile wana feel wako free, wanaCCM kama Nape, pia waliingia kwa majina yao lakini wako kimya labda kwa hisia hizo hizo kuwa JF ni jukwaa la Chadema,tangazo kama hili ni uthibitisho tosha kuwa JF ni zaidi ya itikadi za vyama.

Nakushukuru tena kwa mwaliko huu, wife wangu ni CCM damu, mimi nitamsindikiza na nitachangia kwa moyo wote ili kulinda amani ya familia na kusocialize.

Pasco! si kweli kwamba Nape anaogopa kuwa hiki ni kijiwe cha Chadema bali anaogopa sisi M wenzie! mbona umeogopa kusema ukweli huu?
Hapa ni mahali huru na kila mtu anajua. Kama ni hivyo yeye angekuja kukutana na challenges tu na atetee chama chake. Ila kama ujuavyo mara nyingi wao hukwepa hoja maana hawana jinsi ya kuzitetea.
 

Pasco! si kweli kwamba Nape anaogopa kuwa hiki ni kijiwe cha Chadema bali anaogopa sisi M wenzie! mbona umeogopa kusema ukweli huu?
Hapa ni mahali huru na kila mtu anajua. Kama ni hivyo yeye angekuja kukutana na challenges tu na atetee chama chake. Ila kama ujuavyo mara nyingi wao hukwepa hoja maana hawana jinsi ya kuzitetea.

Nani kakwambia Nape anaogopa CCM wenzie bana?????????...Mbona watu kibao tu siku hizi hawazami ndani ya JF.......watu wanatingwa na shughuli zao tu bana...si kwamba wanaogopa kuingia JF.....Kuna watu wengi sana siku hizi hawaingii JF,si kwamba wanaogopa......shughuli ndo zawafanya washindwe kuingia JF........FMES,Zitto,Kitila et al
 
Hivi wewe ni nani humu ndani? maana naona unafundisha kazi watu sasa ? MODS wataliondoa endapo wataona kuna sababu ya kufanya hivyo .

We endelea na mlengo wako wa kushoto hakuna aliyekuambia uwe kwenye mlengo wa kulia!

Mie Ni Mtumishi wa Watanzania na napaza sauti kwa ajili yao na Mungu yu pamoja nami na uache tabia yako ya kulia lia na kumuita Mod...ushazoea toika unasoma shule zenu hizo kuita mwalimu unaposhindwa kwa hoja!
 

Mie sijaongelea mambo ya CHADEMA na siyo mwanahcma wa CHADEMA.siku zote huwa mnapotea sana kwa kuzania kila anayeponda mabaya ya CCM ni CHADEMA.Jibu hoja na siyo kuleta vioja na kubwabwaja.

Mie ni mtu mwenye Mlengo wa kushoto na hapa sikuangalia itikadi za chama chochote ila mstakabali wa taifa.

Naomba Invisible kwa Heshima na kutumia jamiiformus kusupport jambo hili haututendei haki hata kidogo.Kwa taarifa yako ningekupinga hata kama Mkuu angeleta tangaz la CHADEMA.
tuko pamoja mkuu, kwanza kwa nini, tuchangie CCM? na si kuchangia huduma za afya,, na kuwasapoti watoto yatima kwa kuwapa angalau uweoz wa kupata mkate mmoja kila siku asubuhi?
huo ni uhuni wa wazi daima,
pesa na hazina iliyokwepo wamegawana na qwengine kuongezea wake, na nyumba ndogo, wamenunulia mavitalu na kuwapelekea watoto wao kusoma mashule ya kimataifa, harafu pengo wachangiwe,,,,,, hiii ni ngumu hasa kwa mwenye hekima na busara za upembuzi wa mambo
 
swala la ccm kuomba mchango wa pesa ni sawa na majambazi kuomba mchango wa silaha.


tuwachangia hili waendelee kutuongezea umaskini?
sure these guy is dangerous for our nation, we've to fight them by any means, mentality, physicaly and humantarian
........say for them every where,,,,b coz thy are ant development in our country
 
Inahitaji zaidi ya pesa kuwatenganisha Ndesamburo na watu wa Moshi mjini, labda watafute mbinu nyingine. CCM Hai mmefanya nini tangu Masawe, Kileo na huyu wa sasa hovyo kuliko wote. Mbowe arudi tu
 
Naomba kuuliza kama nimesikia mchango sasa utafanyika leo na sio kesho ili kutoa nafasi kesho watu waende Kili Music Awards?
 
Naomba kuuliza kama nimesikia mchango sasa utafanyika leo na sio kesho ili kutoa nafasi kesho watu waende Kili Music Awards?

Sijapata hizo taarifa ndugu ndio nasikia toka kwako, kama ni kweli jamaa wata kuwa ni watu makini sana kwani ingefanyika kesho watu wengi wange kimbilia Kili Music Awards na hivyo wao kukosa wauzuriaji wengi na hivyo kufanya harambee yao kutofanikiwa .
 
Sijapata hizo taarifa ndugu ndio nasikia toka kwako, kama ni kweli jamaa wata kuwa ni watu makini sana kwani ingefanyika kesho watu wengi wange kimbilia Kili Music Awards na hivyo wao kukosa wauzuriaji wengi na hivyo kufanya harambee yao kutofanikiwa .
Kwa mawazo yangu, kuahirisha mchango serious kwa mustakali wa CCM Kilimanjaro kwa ajili ya Kili Music Awards is very wrong kwa sababu wengi wa wachangiaji wabwa wa CCM sio kwamba wanachangia kwa sababu ya mapenzi yao kwa CCM, bali kwa ajili ya ama ajenda zao, ama kusafeguard status quo za ufisadi wao ambao its only CCM can guatantee them, hivyo sio watu wa type ya Kili Music.

Naomba kwa ithibitike ni leo ama ni kesho, kama kweli ni leo, nitamuaminia 'kijana' atakuwa na very high convincing power!.
 
1. Hivi jamani wandugu tukiwaongezea maharamia silaha MELI zitapona kwe?!!
2. Tuchangie CCM ili nini ?
3. Juzi muheshimiwa kapiga Mkwara TUCTA kuhusu ongezeko la Mishahara kumbe anajua kuna mafisadi pesa hazina kazi eh!
4. Alafu huyu mama Mswilo Swai badala akachangie kina mama Mawenzi Hospital na pia kuchangia huduma za afya,na kuwasapoti watoto yatima yeye anahamasisha kuchangia mafisadii! Kweli ulimwengu utamsuta.
5. Mungu Mlinde mzee wetu NDESA PESA na Moshi yake.
6. Hao Mafisadi washindwe na walegee!!

Hivi kwanza watueleze ile pesa ya EPA imekwenda wapiiiiii?!!!!
 
kuchangia dar hiyo ni ishara tosha kwamba moshi hawana nafasi.magari waliyo nunua 200 watuambie kwanza hela walipata wapi? wasituzuge.wanataka kupitishia mzigo wa dili hapo ,wenye akili tumeshtukia ishu
 
Kuna watu hapa bongo ukileta habari za kunywa maji ya kwenye madimbwi fasta tu akili inawarudsha nyuma kwa kina Kanumba kwao ni sawa na igizo.
 
Back
Top Bottom