CCM must go for the year 2020!

CCM must go for the year 2020!

Huyo Mahanju sijui ameishia darasa la ngapi. Parties anaandika Parts.
 
Naona mtoa mada anaota Ndoto ya Mchana eidha Uongozi huo unaozungumzwa ni wakufikirika au Kusadikika?

Tanzania hamna upinzani wala mpinzani ni kajigenge ka watu kanakozungusha Ndimi kwa kivuli cha Chama /Vyama vya Upinzani kwa dhamira ya kusaka Tonge/wachumia tumbo lakini si kushika Dora

Lowasa hataki kushika Dora anataka Nusu Mkate ,ww Mkeleketwa unaongelea kushika Dora labda kugusa Dora inawezekana kama kweli kunauwezekano
 
Hiki chama kinalinagamiza sana taifa hili na kuliingiza kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi kisiasa na kijamii. Hatuwezi kuwaelewa watu ambao hawana nia njema na watoto wa maskini wanaokosa mikopo vyuoni, hawezi kuwaonea haya watu ambao wanavuruga biashara za watu kwa makusudi, hatuwezi kuwaonea haya watu wanaolea ubaguzi na upendeleo wa wazi wazi.

Nini Cha kufanya?
1.Katiba Mpya, haya ni mahitaji ya wananchi wote na sio wanasiasa flani flani na wala sio maamuzi ya mtu flani.

2.Lazima tuwaambie watawala kwa namna yeyote ile suala la mikutano ya kisiasa ni matakwa ya kikatiba na sio kauli au ruhusa za wanasiasa flani flani.

3.Lipumba na genge lake lazima waondoke CUF, kutumiwa kufifisha nguvu ya upinzani nchini hatutamwelewa na hatumtaki.

4.Mh Zitto na washirika wake lazima wakae pamoja na kuonesha Dhamira ya kweli kuwa wao ni wapinzani ili kuunganisha nguvu ya pamoja.

5. Lazima itumike mifumo na mikakatika yeyote ili kueneza kwa kasi itikadi za upinzani kupenya kila mahali nchini hasa maeneo ya vijijini ili kutahisisha kazi kuelekea 2020.

6.Kama kuna ugumu kwenye nafasi ya urais 2020 basi nguvu uhamie kwenye nafasi za ubunge, upinzani ukubaliane kwa pamoja mapema sana hasa wakati huu kuweka wagombea watakaoungwa mkono na wananchi wa vyama vyote ili kama kuna matatizo yatatuliwe mapema.Tusikubali wagombea wa ubunge wa CCM kupata kura hata kumi kwa namna yeyote ile. Kama wabunge wa upinzani watakua wengi bungeni basi Sipika na Waziri mkuu watatoka bungeni na bunge litadhibitiwa tofauti na sasa, Hoja zote za serikali lazima zipitishwe na bunge kutoka upinzani na hslutakua na mhimili uliojichmbia zaidi tena.

7.Vyamba vya upinzani sasa ni kutengeneza na kuandaa wapiga kura na sio wafuasi,hili ni lakufanyiwa kazi haraka ipasavyo.

CCM MUST GO 2020!
Una uhakika gani kuwa opposition walishinda/hawakushinda uchaguzi 2015? Mkuu, haki haitafutwi kwa kuomba kwa kupewa kwenye sahani. Kama alivyosemaga mhenga mmoja "problems can't be solved by nice talks around the table but by iron and blood". Kwa hiyo kwa hilo kutokea lazima yawepo mapambano, vinginevyo bandiko lako ni ndoto...
 
Pumbs tu hizo. Umetoka usingizini ukaandika utumbo. Hayo majambazi yenu ndio yataitoa Ccm. Kakojoe ulale
 
Hiki chama kinalinagamiza sana taifa hili na kuliingiza kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi kisiasa na kijamii. Hatuwezi kuwaelewa watu ambao hawana nia njema na watoto wa maskini wanaokosa mikopo vyuoni, hawezi kuwaonea haya watu ambao wanavuruga biashara za watu kwa makusudi, hatuwezi kuwaonea haya watu wanaolea ubaguzi na upendeleo wa wazi wazi.

Nini Cha kufanya?
1.Katiba Mpya, haya ni mahitaji ya wananchi wote na sio wanasiasa flani flani na wala sio maamuzi ya mtu flani.

2.Lazima tuwaambie watawala kwa namna yeyote ile suala la mikutano ya kisiasa ni matakwa ya kikatiba na sio kauli au ruhusa za wanasiasa flani flani.

3.Lipumba na genge lake lazima waondoke CUF, kutumiwa kufifisha nguvu ya upinzani nchini hatutamwelewa na hatumtaki.

4.Mh Zitto na washirika wake lazima wakae pamoja na kuonesha Dhamira ya kweli kuwa wao ni wapinzani ili kuunganisha nguvu ya pamoja.

5. Lazima itumike mifumo na mikakatika yeyote ili kueneza kwa kasi itikadi za upinzani kupenya kila mahali nchini hasa maeneo ya vijijini ili kutahisisha kazi kuelekea 2020.

6.Kama kuna ugumu kwenye nafasi ya urais 2020 basi nguvu uhamie kwenye nafasi za ubunge, upinzani ukubaliane kwa pamoja mapema sana hasa wakati huu kuweka wagombea watakaoungwa mkono na wananchi wa vyama vyote ili kama kuna matatizo yatatuliwe mapema.Tusikubali wagombea wa ubunge wa CCM kupata kura hata kumi kwa namna yeyote ile. Kama wabunge wa upinzani watakua wengi bungeni basi Sipika na Waziri mkuu watatoka bungeni na bunge litadhibitiwa tofauti na sasa, Hoja zote za serikali lazima zipitishwe na bunge kutoka upinzani na hslutakua na mhimili uliojichmbia zaidi tena.

7.Vyamba vya upinzani sasa ni kutengeneza na kuandaa wapiga kura na sio wafuasi,hili ni lakufanyiwa kazi haraka ipasavyo.

CCM MUST GO 2020!
2020 CCM will be strongest party
 
Siasa za Tanzania watu tunajifanya kama vile hatuzijui, mfano, hao akina Nape, Bashe, Musukuma and the like wote kuanzia November, 2019 hakika hamtaamini jinsi watakavyokuwa wanalala porini ili kuhakikisha CCM inashinda 2020.

Japo, nafasi ya CCM kushinda uchaguzi mkuu bado ni kubwa mno yaani about 70%+.

Wapinzani, jengeni kwanza ofisi zenu hata za mikoani tu hapo ndiyo mtaanza kuwaza kushika dola.

Upinzani kila siku kulialia na kubadili gia angani mshinde uchaguzi mkuu!?

Upinzani watu wanakuwa kwenye kukiandaa chama halafu juzi tu mtu anahamia kwenu (CDM) kampeni za chini chini zinaanza kuwa apewe jimbo mara la Lema oooh oooh oooh, apewe jimbo singida.

Sasa nakuuliza je, waliokuwa kwenye hayo majimbo tangia upinzani umeanza na ni watu mmewaanda ninyi wenyewe je, hawana sifa za kugombea nafasi hizo!?
Au watu mnaowaanda hawana vigezo vya kuwa wabunge au kushika nyadhifa zingine za juu za uongozi kitaifa!?

Yaani, pana maswali mengi sana kila ukiangalia muundo , utendaji na raslimali watu kwenye vyama vyote vya upinzani hapo Tanzania.

Any way, upinzani wa Tanzania huwa naulinganisha na mtu anayetaka kumkamata panya na kumuua ila mtu huyo" Anaziba shimo la Panya kwa Mkate uliopakwa Cheese"

Kisha mtu uyo huyo, anaenda zake kulala akitegemea kuwa kesho asubuhi ataenda kumchukua panya na kumuua maana aliziba shimo la panya.
 
Kwahiyo CCM itatawala milele? Unafahamu kilichotokea Ghana 2017
Hayo yaliyotokea Ghana ni mazao ya mikakati makini haikutokea tu kwa nasibu, sasa hapa kwetu kuna mikakati gani madhubuti toka upinzani zaidi ya upinzani kuvizia tu professional misconducts za Rais Magufuri na kuzitolea matamko yasiyo na tija ktk press conference?
 
Hat uwezo kuweka kila kitu wazi ukizingatia kuwa upinzani umebanwa sana safari hii. Watch out and mark my words.
 
Inategemea unachukua watu wa aina gani kutoka Chama Tawala. Hapa Tanzania kosa linalofanyika ni kuchukua watu wasio na integrity kwa jamii na kuwafanya Wagombea. Hapo ndio nasema kwa utoto wenu hamtakwenda IKULU kamwe. Halafu uwe na adabu. Mimi ni zaidi ya baba yako huwezi kuniandika ujinga wako. Huko Ghana na kwingineko wameshinda watu wenye integrity kutoka Chama Tawala na siyo mafisadi kama wa hapa.
Usiwe mkali unapoambiwa ukweli. Uchaguzi wa 2015 Lowassa unayesema wewe hana integrity alipata kura milioni sita na ushee dhidi ya za Magufuli milioni nane. Kumbuka hapo Tume imetumika kuchakachua, media zimebanwa ili kukwamisha wapinzani, vyombo vya dola ikiwemo polisi wametumika na mambo mengi ya ukandamizaji. Jee uchaguzi ungefanyika kwenye uwanja wa usawa hali ingekuwaje?
Jifunzeni kusema ukweli, na ni wazi kuwa ccm inauogopa upinzani kupita maelezo ndio maana kila siku wanavunja katiba ili kuwazuia wasifike kwa wananchi na kusema nao
 
safari hii atapata 10m.....

usisahau lowassa alipata kura kutokana na chuki kwa ccm sio kwa sababu ya usafi wake

Lowassa ni mchafu kiasi ambacho kwa akili za kawaida kutojua au kutambua ni mchafu unajidhalilisha wewe, anaweza hata akakuvua nguo ukabaki kimya kwa mahaba hayo

ccm ni wachafu, lowassa ni walewale mkuu...kuwa mkweli

Slaa angepata kura 4m mwaka 2015, mwaka 2020 angeongeza..2025 nchi ingeenda upinzani
 
Kwa mikakati hii ya Magufuli hatuwezi kuiondoa CCM madarakani mpaka jiji la Dar liwe km JO'BERG au NY CITY na hapo tutaangalia kuna mpango gani mzuri mbele
 
Huku nilipo ukitaja ccm tu,watu wanatapika,wameshaichoka ilembaya.
 
Akitoka ccm aingie nani, chadema? Over my dead body.
 
Mkuu error za kiuandishi nimezingindua baada ya post,kwahiyo content iko wazi.
Kama umeona error baada ya kupost moja kwa moja wewe siyo mtu makini mawazo yako yamebebwa zaidi na mihemko
 
Back
Top Bottom