Kwahiyo CCM itatawala milele? Unafahamu kilichotokea Ghana 2017Wewe acha porojo za kijinga na kilofa. CCM haiwezi kuondolewa kwa maneno matupu na propaganda za kitoto kama zako. Tangu 1995 mnaendeleza mawazo ya kijinga ya kuamini kwamba mtaiondoa CCM kwa mizaha ya kusimamisha magalasa na makapi ya CCM. Muwe na akili japo kidogo.
Utatamani sana yanayotokea Nchi jirani lakini kwa mbinu za kipuuzi za upinzani wa Tanzania. CCM itachelewa kuondoka labda 2055Kwahiyo CCM itatawala milele? Unafahamu kilichotokea Ghana 2017
Wewe acha porojo za kijinga na kilofa. CCM haiwezi kuondolewa kwa maneno matupu na propaganda za kitoto kama zako. Tangu 1995 mnaendeleza mawazo ya kijinga ya kuamini kwamba mtaiondoa CCM kwa mizaha ya kusimamisha magalasa na makapi ya CCM. Muwe na akili japo kidogo.
Kama huelewi si bora ukasoma uzi na kukaa kimya? Wa wapi wewe?kwa hiyo bila katiba mpya ccm haiwezi kuondoka?
Mikutano ya kisiasa ilikuwepo toka kuanzishwa kwa vyama vingi, lakini bado ccm ipo madarakani,
unasema lipumba na genge lake LAZIMA waondoke pale CUF, lakini hujaonesha hizo njia za `lazima' unazotaka kuzitumia kuwaondoa,
unasema zitto na wenzake waungane ktk mchakato wa kuing'oa ccm, ukawa imeishiwa pumzi? huyu jamaa si ndiye msaliti?
Bado ni ukweli usiopingika kwamba, mchawi wa upinzani nchi hii ni wapinzani wenyewe. Mnataka sana kuungana lakini maslahi binafsi ndicho kinawauwa.
mf: uchaguzi uliopita mliwaaminisha watu kwamba mnakwenda kuing'oa ccm kwa kutumia ukawa lakini mkafeli.
si ajabu leo wenje angekuwa mbunge wa jimbo la nyamagana, lakini kutokana na uroho wa madaraka, kila chama kikasimamisha mgombea, mkaishia kuzigawana kura za upinzani, then mkalialia mmeibiwa kura.
Anaerudisha nyuma maendeleo ya upinzani nchi hii na wapinzani wenyewe.
hahaha kwani katiba ndo inawachagua ccm au wanaiba kura ?Bajeti ya katiba mpya haipo-----Hn.majaliwa.
So ccm will remain and lead.
Inategemea unachukua watu wa aina gani kutoka Chama Tawala. Hapa Tanzania kosa linalofanyika ni kuchukua watu wasio na integrity kwa jamii na kuwafanya Wagombea. Hapo ndio nasema kwa utoto wenu hamtakwenda IKULU kamwe. Halafu uwe na adabu. Mimi ni zaidi ya baba yako huwezi kuniandika ujinga wako. Huko Ghana na kwingineko wameshinda watu wenye integrity kutoka Chama Tawala na siyo mafisadi kama wa hapa.Hivi ninyi watu mnaazima akili kutoka wapi?
Nileze ni nchi gani duniani aliibuka mpinzani aliyekulia upinzani akaongoza taifa? Hao marais wote wa Nigeria,Ghana na kwingineko walitokea ruling parts.
Haya ndio madha ya watoto wadogo kujifanya mnajua kuchambua siasa, chuo hujamaliza unajifanya mchambuzi khaa!! Very low
Hiki chama kinalinagamiza sana taifa hili na kuliingiza kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi kisiasa na kijamii. Hatuwezi kuwaelewa watu ambao hawana nia njema na watoto wa maskini wanaokosa mikopo vyuoni, hawezi kuwaonea haya watu ambao wanavuruga biashara za watu kwa makusudi, hatuwezi kuwaonea haya watu wanaolea ubaguzi na upendeleo wa wazi wazi.
Nini Cha kufanya?
1.Katiba Mpya, haya ni mahitaji ya wananchi wote na sio wanasiasa flani flani na wala sio maamuzi ya mtu flani.
2.Lazima tuwaambie watawala kwa namna yeyote ile suala la mikutano ya kisiasa ni matakwa ya kikatiba na sio kauli au ruhusa za wanasiasa flani flani.
3.Lipumba na genge lake lazima waondoke CUF, kutumiwa kufifisha nguvu ya upinzani nchini hatutamwelewa na hatumtaki.
4.Mh Zitto na washirika wake lazima wakae pamoja na kuonesha Dhamira ya kweli kuwa wao ni wapinzani ili kuunganisha nguvu ya pamoja.
5. Lazima itumike mifumo na mikakatika yeyote ili kueneza kwa kasi itikadi za upinzani kupenya kila mahali nchini hasa maeneo ya vijijini ili kutahisisha kazi kuelekea 2020.
6.Kama kuna ugumu kwenye nafasi ya urais 2020 basi nguvu uhamie kwenye nafasi za ubunge, upinzani ukubaliane kwa pamoja mapema sana hasa wakati huu kuweka wagombea watakaoungwa mkono na wananchi wa vyama vyote ili kama kuna matatizo yatatuliwe mapema.Tusikubali wagombea wa ubunge wa CCM kupata kura hata kumi kwa namna yeyote ile. Kama wabunge wa upinzani watakua wengi bungeni basi Sipika na Waziri mkuu watatoka bungeni na bunge litadhibitiwa tofauti na sasa, Hoja zote za serikali lazima zipitishwe na bunge kutoka upinzani na hslutakua na mhimili uliojichmbia zaidi tena.
7.Vyamba vya upinzani sasa ni kutengeneza na kuandaa wapiga kura na sio wafuasi,hili ni lakufanyiwa kazi haraka ipasavyo.
CCM MUST GO 2020!
Headline haina maana uliyokusudia , bora kutumia kiswahili tuHiki chama kinalinagamiza sana taifa hili na kuliingiza kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi kisiasa na kijamii. Hatuwezi kuwaelewa watu ambao hawana nia njema na watoto wa maskini wanaokosa mikopo vyuoni, hawezi kuwaonea haya watu ambao wanavuruga biashara za watu kwa makusudi, hatuwezi kuwaonea haya watu wanaolea ubaguzi na upendeleo wa wazi wazi.