Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Sio tuu Rais wa dizaini ile ila nashangaa inakuaje dini ile inaleta watu makatili tuu?CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Wacha tukuombee ili ukaungane naye mapema mfanye mipango yenuHii dunia kama mipango yetu ingekuwa final, Mobutu asingefia Morocco. Tusijisahau sana kama vile tuna control ya kila kitu. By the nashukuru kwa kunipa cheo cha uchawa wa mwendazake. Ntakienzi na kukitunza daima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
La uchungu halisahaulikiLita pita kama yalivyopita mengine
Yupo anamfanyia figisu mama mkojaniJiandaeni tunawaletea dikiteta mwngine, dikiteta nchemba
Na umeshiba haswa hayo maji ya bendera. Katiba yenyewe inatambua hii nchi ni ya vyama vingi, japo kimoja kinasaidiwa na polisi kubaki madarakani.Inawezekana nikaonekana Kama niliyekunywa maji ya bendera....
Ila UFINYWANGAJI wa taifa letu ulijengwa juu ya Sera za TANU(baba wa CCM)....mathalani ndani ya KATIBA YETU tunatambulika kuwa ni TAIFA LA UJAMAA NA KUJITEGEMEA.....tofauti sana na Sera za upinzani(CUF&CHADEMA) ambao wao ni WALIBERALI(in contarary with the country's constituition)....hili lina ATHARI KUBWA TU......
Mtt qumma kwel ww 😅 alimkojoza sioMagufuli alikukojoza vizuri sana mleta mada, haushi kumsema mtu aliyekufa ambaye hawezi kujitetea ona ata aibu tumbili wewe.
Amfredi Slow slow
Wamekaza nati😅Endelea kumuwaza JPMView attachment 1969484
Taahi.ra jingine hili..CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Wacha tukuombee ili ukaungane naye mapema mfanye mipango yenu
Hiyo ni special maombi maana umesema kuwa bado unamhitajiKufa ahadi mkuu. Sisi waja ipo siku lazima kitu na box
Hatukujua kuwa nasi ipo siku tunge nyooshewa vidole na hata kutengwa na jumuia za kimataifa.
Alicho watendea wakulima wa korosho hata leo hii wanaugulia .
Walikukatili nini?Sio tuu Rais wa dizaini ile ila nashangaa inakuaje dini ile inaleta watu makatili tuu?
Mashoga mmejazana uvcc ndiyo mwenzenu jana kajitangaza kuwa anasingiziwa kuwa yeye ni shoga na nambari yake ya simu kawekakutengwa na jumuia ya kimataifa kunafanya ukose bwana wa kizungu au???!
acha uzwazwa bana.