tzcountry I love
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 729
- 641
Dalili zinaonekana kuwa kijani imechosha macho sana. Wstu wameichoka sasa hivi kuliko hata miaka yote pamoja na "induced" slave trade inayoendelea.
Risi wa MBEYAKwani Sugu ndo nani vile
Kama wameshindwa kuyaleta kwenye majimbo yao hayo wataweza.Watupe mrejesho wa kinondoni na siha kipi kimebadilika baada ya kuunga mkono ili nasi tukaunge mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wa dini fata maneno yake sio matendo mwanasiasa fata matendo yake sio maneno yakeJiwe si kila siku anaimba kwamba maendeleo hayana mavyama?
Weka zilizojengwa kipindi cha ccm,mtu mwenyewe kyindi.Weka fly over alizojenga!
Bhututu linamcheka kyindi [emoji23][emoji23][emoji23]... kweli Nyani aoni kunduleWeka zilizojengwa kipindi cha ccm,mtu mwenyewe kyindi.
Watoto wa juzi nyie siwalaumu.Weka zilizojengwa kipindi cha ccm,mtu mwenyewe kyindi.
Alisema Lissu not Sugu!! JK anaujua muziki wa LissuSugu ndo yule ambaye alimfanya JK aseme bora yeye anyimwe urais kuliko kumpa ubunge yeye(sugu).
Sugu ndo huyu aliyefanya mpaka watu wazima kwenye ukoo wenu wakaanza kusikiliza Bongofleva.