Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,544
- 18,432
Aliyebuni huu ujinga wa kununua wapinzani ni mpuuzi wa karne.
Rc wake ajiandae kisakolojia ni mmoja kati ya watakaotumbuliwa Kwa kushindwa kumng'oa sugu 2020.
Mwambie Ngongoti apambane sanaaaa na wewe ukamsaidie maana si kwenda kuomba mpaka makanisa ya uchochoroniSugu hayuko Mbeya kwa ajili ya kuleta maendeleo. Yuko kwa ajili ya ku raise fund hotel yake ikamilike.
Alivyo mchoyo sijawahi msikia atoe hata debe la mahindi Kama msaada.
Wakiweka dau kubwa mezani hawezi chomoa hata kidogo! Ukizingatia ada ya sasha inampiga chengaSasa si mpaka yeye akubali mwenyewe kwa hiari yake
[emoji15]Sugu hayuko Mbeya kwa ajili ya kuleta maendeleo. Yuko kwa ajili ya ku raise fund hotel yake ikamilike.
Alivyo mchoyo sijawahi msikia atoe hata debe la mahindi Kama msaada.
CCM ndio inaamua wapi ipeleke maendeleo na wapi isipeleke , na hakuna wa kutufanya kitu - Heri James , Mwenyekiti wa UVCCMKununua mpinzani kwa sasa ndo dili.
Kwa jinsi wana CDM wanavyotimkia CCM kama senene ni dhahiri tutakuwa na chamabkimoja si muda mrefu.
Sisi wana Mbeyajiwe lililopo shingoni ni Sugu.
CCM mnunueni Sugu ili tuondokane na madhara ya kutofikiriwa kimaendeleo mkoani Mbeya.
Hebu lete sababu nyingine yenye mashiko.Mkuu unaamini kabisa kuwa Sugu ndio kikwazo cha mbeya kutopata maendeleo?
Halafu baadaye kidogo ...... Njooni kwangu wote msumbukao na mizigo nami nitawapumzisha !!!Maendeleo hayana chama-jiwe
Chui ndani ya ngozi ya kondooHalafu baadaye kidogo ...... Njooni kwangu wote msumbukao na mizigo nami nitawapumzisha !!!
Kuna majimbo miaka na miaka ni ngome za ccm na hakuna maendeleo yoyote.
Wanaonunuliwa sio wote wana njaaa, wengi wanaenda kulinda heshima na kuepukana na kudhalilika na kupata ulinzi. Maana haya mambo ya kutekana na kupigana PIPE{Paipu}. Ni aibu sana, ndio Maana wanaenda kule
Sent using Jamii Forums mobile app
..Sugu ana hasira za kufungwa.
..itabidi anunuliwe kwa dau kubwa zaidi ya wenzake.
..na mbele ya safari bangi zake zinaweza kumtuma awatoroke.
Sugu hayuko Mbeya kwa ajili ya kuleta maendeleo. Yuko kwa ajili ya ku raise fund hotel yake ikamilike.
Alivyo mchoyo sijawahi msikia atoe hata debe la mahindi Kama msaada.
Hiyo sera ya kutokuleta maendeleo haitasaidia nchi mfano Moshi mbona imeendelea bila kuwa na CCM kwa zaidi ya miaka 10. Maendeleo ni watu kama una watu wajasilimali na wanajiamini. Hivi watu wa kaskazini wakiamua kuleta shida kwa watalii hii nchi ingekuwa wapi kimapato lakini wanajua wanasaidia nchi kwa ujumla na sehemu zao ingawa pesa zao za kodi hazirudi. Mbeya waache siasa wapambane na kilimo na kujenga mji wao. Mbona kalisti mayor wa Arusha anaweza kuleta maendeleo pale makubwa mpaka kujenga barabara, shule, Hospital tatizo huwezi kusubiri kuletewa na CCM ! Mbona kusini hakuna maendeleo pamoja na kuwa na CCM na rasilimali zote zileKununua mpinzani kwa sasa ndo dili.
Kwa jinsi wana CDM wanavyotimkia CCM kama senene ni dhahiri tutakuwa na chama kimoja si muda mrefu.
Sisi wana Mbeya jiwe lililopo shingoni ni Sugu.
CCM mnunueni Sugu ili tuondokane na madhara ya kutofikiriwa kimaendeleo mkoani Mbeya.