CCM mnunueni Sugu haraka Mbeya tupate maendeleo...

CCM mnunueni Sugu haraka Mbeya tupate maendeleo...

Kununua mpinzani kwa sasa ndo dili.
Kwa jinsi wana CDM wanavyotimkia CCM kama senene ni dhahiri tutakuwa na chamabkimoja si muda mrefu.
Sisi wana Mbeyajiwe lililopo shingoni ni Sugu.
CCM mnunueni Sugu ili tuondokane na madhara ya kutofikiriwa kimaendeleo mkoani Mbeya.
Jimbo la Siha kwa sasa kila kitu kinapatikana. Shule ya sekondari kila kijiji. Zahanati kila kijiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi leta maendeleo wawezacho Kwa bidii ni kupambana na upinzani, wajifunze Uganda,wazee wanapungua wengi ni Vijana bila kutatua kero za Vijana kijani watapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Thread ya hovyo kuliko zote! Hivi mtoa mada unamaanisha nini? Sehemu zote walizochagua ccm wana maendeleo kuliko mbeya mjini au!
 
Sugu hayuko Mbeya kwa ajili ya kuleta maendeleo. Yuko kwa ajili ya ku raise fund hotel yake ikamilike.
Alivyo mchoyo sijawahi msikia atoe hata debe la mahindi Kama msaada.
 
Sugu hayuko Mbeya kwa ajili ya kuleta maendeleo. Yuko kwa ajili ya ku raise fund hotel yake ikamilike.
Alivyo mchoyo sijawahi msikia atoe hata debe la mahindi Kama msaada.
Mrefu ana mmaindi sana!
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    25 KB · Views: 29
Kununua mpinzani kwa sasa ndo dili.
Kwa jinsi wana CDM wanavyotimkia CCM kama senene ni dhahiri tutakuwa na chamabkimoja si muda mrefu.
Sisi wana Mbeyajiwe lililopo shingoni ni Sugu.
CCM mnunueni Sugu ili tuondokane na madhara ya kutofikiriwa kimaendeleo mkoani Mbeya.
Majimbo yenye wabunge wa ccm mkoa wa mby kama Rungwe na mbarali yamepata maendeleo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Sugu ana hasira za kufungwa.

..itabidi anunuliwe kwa dau kubwa zaidi ya wenzake.

..na mbele ya safari bangi zake zinaweza kumtuma awatoroke.
Ana uwoga!
 
Back
Top Bottom