Hiyo sera ya kutokuleta maendeleo haitasaidia nchi mfano Moshi mbona imeendelea bila kuwa na CCM kwa zaidi ya miaka 10. Maendeleo ni watu kama una watu wajasilimali na wanajiamini. Hivi watu wa kaskazini wakiamua kuleta shida kwa watalii hii nchi ingekuwa wapi kimapato lakini wanajua wanasaidia nchi kwa ujumla na sehemu zao ingawa pesa zao za kodi hazirudi. Mbeya waache siasa wapambane na kilimo na kujenga mji wao. Mbona kalisti mayor wa Arusha anaweza kuleta maendeleo pale makubwa mpaka kujenga barabara, shule, Hospital tatizo huwezi kusubiri kuletewa na CCM ! Mbona kusini hakuna maendeleo pamoja na kuwa na CCM na rasilimali zote zile