Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,163
- 48,425
Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro.
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?