<br / vipi CUF? Naskia wana igunga wanawapenda sn kuliko cdm, ni kweli?
kingunge ameamua kupiga front mwenyewe maana kaona vijana wake wanataka kumwangusha -- ha ha haHivi kapteni Komba hajaja huko la lile lori lake na band yake ya kwaya na taarabu?
Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao
Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya kuleta watu kwa malori.
Katika hali ya kukata tamaa, CCM sasa imekubaliana kutumia dola kama njia ya mwisho, kujipatia ushindi.. Kimsingi wananchi wengi Igunga wanataka mabadiliko, na wapo tayari kwa mabadiliko.
Leo Chadema tunafanya mkutano wa 21.. picha baadae
Dume lina miaka kumi na nane bado unaliita toto la shule, watoto wa university au University pupils ha ha..

Watoto wa shule hawakatazwi kupiga kura ili mradi wawe wametimiza miaka 18
Soma mkutano wa ufunguzi ulifanyika wapi. kisha linganisha hizi picha ni za mikutano kwenye vijiji gani?
Mnapoteza muda bure kuja kuwadanganya watu hapa JF. Nendeni Igunga kusaidia kuhamasisha wapiga kura. Itakuwa na faida kubwa kwa chama kuliko kuwadanga watu hapa ambao hata hawapigi kura.
Chama kina umri sawa na wa babu(+50yrs) badala ya kutuonyesha maendeleo mnalilia kulinganisha wingi wa watu kwenye mikutano na vyama vya juzi vya kina Dovutwa kweli mmezeeka ule mshipa wa reasoning and judgement uwezo wake umeshuka.Soma mkutano wa ufunguzi ulifanyika wapi. kisha linganisha hizi picha ni za mikutano kwenye vijiji gani?
Mnapoteza muda bure kuja kuwadanganya watu hapa JF. Nendeni Igunga kusaidia kuhamasisha wapiga kura. Itakuwa na faida kubwa kwa chama kuliko kuwadanga watu hapa ambao hata hawapigi kura.
Soma mkutano wa ufunguzi ulifanyika wapi. kisha linganisha hizi picha ni za mikutano kwenye vijiji gani?

Mnapoteza muda bure kuja kuwadanganya watu hapa JF. Nendeni Igunga kusaidia kuhamasisha wapiga kura. Itakuwa na faida kubwa kwa chama kuliko kuwadanga watu hapa ambao hata hawapigi kura.
Vipi CUF? Naskia wana igunga wanawapenda sn kuliko cdm, ni kweli?
wewe tulia tu ipo siku utaisoma namba!!Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao
twende kawawa twende... siendi.....Kweli mkuu umenikumbusha kale kawimbo ka magamba; ka kukejeli walalahoi; watanzania tieni, tieni tieni kwa moyo mmoja nambari wani ni --- watanzania twapendeza" siku hizi magamba yamenyujwa kishenzi! ni mafisadi na mijizi haithubutu kutuimbisha tena!!!
Kama ambavyo inajulikana,CUF=CCM.Ndiyo maana Mwanahalisi katika gazeti lao toleo la 258 walichora katuni inayoonyesha bondia wa CHADEMA akipambana na bondia mwenye vichwa viwili;
Kimoja cha magamba A kingine cha Magamba B.Na RAI la leo kwenye ukurasa wao wa mbele wameonyesha picha za watu watatu,lakini wagombea wawili tu i.e Joseph Kashindye(CHADEMA) na Dr. Peter Kafumu(CCM). Kweli Mungu akiamua kukuumbua hahitaji kusubiri karne!
Kama idadi kubwa ya mikutano ndiyo kigezo cha kushina uchaguzi basi hongereni Magwanda. Lakini nasikitika kwasababu wapiga kura huwa wanaangalia sera za mgombeaji, kwahiyo jazeni watu lakini mwisho wa siku CCM kidedea.