Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Ndugu asanteh sana,pipooooz! Kaza buti tutashinda ushindi huko wazi..Jimbo laini sana hili,na wanaIgunga wapo tayari kwa mabadiliko,kimsingi kwenye uchaguzi wa mwaka jana Chadema tulipata madiwani 2,wa kuchaguliwa na 1 wa viti maalum.Kila unayekutana nae anaonyesha ishara ya chadema hata watoto,ambayo ni ishara kuwa hata wazazi ndicho wafanyacho.,,ntaendelea kuwajuza